Vile ninavyohisi kuhusu member Mshana Jr

Nje ya hapo ni mpenda papuchi sana[emoji38][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeshakutana naye na kupiga naye story nje ya JF. Ni mtu poa sana huyo mlutheri wa watu alafu mbona ameweka picha zake za kweli humu nyingi na watu wengi wanafahaiana naye nje ya JF nikiwemo mimi.
 
Ni mtuu fresh anapiga story na kila mtuu sema tu ni mchawi yani mshirikina ..na ana utoto pia kidogo
 
ni chapombe LAKINI akilewa anaongea point tupu....ni mlevi wa pombe ya k vant au konyagi ukimpa na nyama choma anafurahi kwelikweli au sio Mshana Jr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…