mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Kuna mtindo flani wa maisha unapendwa Sana na wanawake karibu wote waliosoma na wasiosoma. Sababu za huu mtindo kupendwa ni hizi harakati za wazungu za kutaka Kuona wanawake wanakuwa SAWA na wanaume (eti tofauti iwe ni maumbile tu).wanawake hupenda haya na bahati mbaya wanaozama kwenye huu mtego ni wanaume maskini tu.
1.ushirikishwaji wa mwanamke kwenye mipango ya uchumi karibu yote. Mfano unapanga kununua uwanja wa makazi au biashara, ni lazima mwanamke wako ashiriki , umpe wazo au yeye ndiye atoe wazo, utafte pesa na yeye atafte, muongozane hapo site mnununue ,mkianza ujenzi yeye ashirikishwe nk ,ukiwa na salary ajue unalipwa ngapi na mnatumiaje ukifanya haya wewe ndiye mwanaume mwenye akili na unajua maana ya ndoa na familia,(aliyekuwa mzazi mwenzangu aliniambia nimpe plan yangu ya uchumi na mipango yangu , nilipomwambia plan zangu ninazo kichwani na ninachokifanya Sasa ni mambo ambayo nilishayafikiria Sana huko nyuma na ukinipa mawazo Yako Sasa utanichanganya ilikuwa sababu za ugomvi ,nilipo wauliza walimu wenzangu wakaniambia wanafanya hivo kuwashirikisha wake zao, sikuridhika ilibidi niwaulize wajomba zangu wakinga na kukumbuka life style ya home mzee alikuwa anafanyaje na b mkubwa nikijiridhisha ni mwanaume maskini tu Huwa anafanya hayo Kwa sababu yeye haziamini akili zake na haminiki,
2.wanawake wanapenda marafiki wa mwanaume wawe wajinga flani, wanawake huamini mwanaume Hana akili za kutosha za kufanya mambo yake na kufanya mamuzi yake binafsi, hivo huamini marafiki wa mwanaume wakiwa smart watamsanua mwanaume ,wanataka uwe na marafiki flani hivi wa michongo ,hili nimeliona Sana mwanamke anasema "unazani haya mamuzi kafanya yeye ni marafiki zake wamesema afanye" bahati mbaya wanaoingia kwenye huu mtego ni wanaume maskini.
3.wanawake huona mwanaume maskini hajakamiilika,mwanamke anamini mwanaume aliyenaye hayupo SAWA kiuchumi, kijamii nk, usije shangaa umekaa na mkeo au mchumba wako then anarejea quotations za nnanauka au mwanaume flani wa jirani akimini yupo SAWA kuliko wewe,
4. Kuamini kiongozi wa kidini yupo sahihi na kinachofundishwa huko chote kipo sawa, na kama mwanaume huyu aliyenaye hakubaliani nacho ni mwanaume wa hovyo na hafai kwenye maisha, unapojaribu kumpa picha ya tofauti unaonekana huelewi Dunia inaendaje
5.wanawake kuamini wanaweza fanya biashara na wanaweza kupambana kuliko mwanaume, Leo hili angalia biashara ndogo ndogo ambazo hazilipi Kodi,hazina future, hazina plan asilimia 90 zinafanywa na wanawake,mara yupo kwenye vicoba ,mara sijui auze shuka, sijui vitambaa, nk, na hawashauriki siku nilipo mwambia mwenzangu unapoteza muda unachokiita biashara ni utoto Kaa ndani ucheze na watoto, ilikuwa tabu Sana na hata alipoishiwa na kuniomba nimjazie mtaji ilikuwa tabu Sana, nilipomwambia sitaweza peleka pesa kwenye eneo ambalo 90% najua zinaenda potea hakunielewa kabisa
6.mwanamke anapohisi kakuzidi kipato hujiona ana akili Sana. Hili siji sahau nilikuwa na date na Binti wa idara ya utumishi pale halmashauri, Mimi nikiwa mwalimu aisee alikuwa ananipa picha ya Hela zilivyo na Kuona mimi nimekwama Sana, nilipopitisha barua ya mkopo alinisihi kweli nitumieje mkopo ule, nilikuwa namficha mambo yangu nilipojaribu kumpima can I marry you, alinijibu nijipange kwanza nakumbuka siku namwambia nikutoe out akaniambia nikodishe gari alikuwa anaona natumia pikipiki. Nashukuru kaolewa na mtumishi mwenzake,Sasa anajua tofauti yangu na wao ,
7.kupenda show off na mipango mifupi fupi , mwanamke anapenda mwanaume mwenye mipango mifupi fupi. Yaani uchukue pesa hapa upeleke pale panapoonekana kirahisi na yoyote. Nina rafiki yangu anajitafta ni mwalimu aliikuja kwangu kuniomba ushauri anataka achukue mkopo ila haelewi apeleke pesa wapi , nilipojaribu so long as unalima kiasi na una experience kiasi ya ufugaji , unaonaje kupeleka hiyo pesa huko,siku mbili mbele mke kaja kwangu kuniomba nimshauri mume anunue uwanja na wajenge nyumb ya kuishi, nilipojaribu kumpa ninachokiona kwenye nyumba ya kuishi , ilikuwa shida nililazimika kuanza upya kumpa jamaa ushauri uliotolewa na mkewe na Sasa wapo wanajenga, ninachokiona pale ni kuzika pesa Kwa njia ya kisasa ,Yani ukope ishirini halafu ujenge nini kinatokea badaye;
Nb scenario nyingi nazaziona Kwa wanaume maskini Huwa hata Kwa wanaume matajiri zipo Sana, tofauti ni maskini kukubaliana na mke na tajiri kugoma kuishi kwenye akili za mke basi ndipo matajiri huonekana ni viumbe wa ajabu wasio na utu