Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongeza na jina la kijijiLudewa,Njombe
Mundende,ibumi,ludende au nenda sehemu inaitwa JIWE LIGANGA(hapa liganga,mkoroni alifichaga mali lakini aliporudi kuzichukua akarogwa na hazijawahi tolewa)Ongeza na jina la kijiji
Asante kwa mchango wakoMundende,ibumi,ludende au nenda sehemu inaitwa JIWE LIGANGA(hapa liganga,mkoroni alifichaga mali lakini aliporudi kuzichukua akarogwa na hazijawahi tolewa)
Kiwila,ngosi ziwaniAsante kwa mchango wako
Ziko kwenye kumi boraAla! Kumbe Sumbawanga na Kigoma hamna kitu!
Sijaelewa.Naomba uzi huu uwe natija kwa wote watakao itaji huduma kutoka kilingeni. Na wale ambao wataleta habari sijui za yesu, Mungu na wengine mara sijui nini, huu uzi sio wao maana hayajawakuta...
Vudeee sameNamba MOJA Kwansisi Handeni Tanga
Mamba 2 Mapango ya Amboni Tanga
Mamba 3 Majani mapana Tanga
... Nitaendelea na cya Upareni
Asante kwa mchango wakoVudeee same
AsanteNakubali, natumahi watalifanyia kazi
Upo mkoa gani nikutumie Pdf yenye orodha ya wataalam wa eneo ulilopowadau tiririkeni
Sumbawanga na kigoma hawana mbwembwe. Ila ukienda ndio utajua.Ala! Kumbe Sumbawanga na Kigoma hamna kitu!
Kweli mkuu unawafahamu, Ogopa Mkinga wa Kipagalo na Iniho, Ogopa Mpangwa wa Maholong'wa na Kimelembe lakini ogopa zaidi Mmanda wa Lifua na Ngelenge. 🏃♂️Sumbawanga na kigoma hawana mbwembwe. Ila ukienda ndio utajua.
Ziwa Tanganyika ndio nguzo kuu inauounganisha Sumbawanga kihoma na kongo.
Kisha unaenda kufuata bonde la kati mpaka Niger huko ndio chanzo kikuu cha mtu mweusi na maajabu yote ya mwafrika. Ogopa kigoma kule kuna mafundi.
Naishi nyanda za juu kusini watu pekee ukanda huu ni wakinga walau wanajaribu, jaribu nikilinganisha na nyumbani maghaibi na usukumani, huku bado sana.
Wapangwa wao wanasifiwa kwa kuoga tu na si tiba kwa jumla wake.
Mimi kama mtu wa kutoka bonde la Tanganyika mtu anaweza kumuogopa ni msukuma. Wasukuma wanajua tiba sana sana.
Kumefanyaje jamani?,Kule kupo shwari Mbona.Ludewa,Njombe
Aaaah; Korogwe ni mchanganyiko wa makabila tofauti-tofautiKorogwe sijaiona hapo
Umewahi kufika Mavala au Luvuyo?Kumefanyaje jamani?,Kule kupo shwari Mbona.