Vimbwanga na Visa vya mahusiano ya JF

😂😂😂😂😂😂hapana banaaaa mie hilo la kumiliki ID zaidi ya moja limenishinda. Mwandiko wangu umekaa upande upande si wa kawaida hivyo ni rahisi KUSTUKIWA. Kule FB kuna kimwana kimoja kina rangi kama Shunie halafu style yake ya Nywele kama Shunie basi mimi huenda huko kumtizama tuuuuu kisha najisemea wakubwa WANAFAIDI 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Halafu mambo ya jf id nyingi usikute shemela smart ndio wewe BAK 😂
 
Mkuu nipe jina lake, nikashuhudie na kutoa sifa, kisha nikae kwa kutulia.
 
Kuna jamaa anajiita smart sijui wamepotelea wapi na yule demu wake, jamaa ilikuwa kila akicoment lazima amutagi demu wake
Mdau alioa kabisa ila bdei ya bidada juzi kakonfirm wameachana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…