GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
New cp in JF.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
New cp in JF.
Hahahahahah ila eve unanifurahisha sanaNilikua nateseka hujui tu yani nahangaika utadhani nalipwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Pale bado nusu legend niingie cha kike, ningekuwa ndege mjanja nimenasa katika tundu bovu, mwenzangu sawa ndio napendwa, wivu sunna sio wa namna ile, mwanamke haambiliki, uswahili level A..Yule maka hapana nikikumbuka ile siku sitasahau halafu usiku ghafla tu anapayuka
Idumu sana hii kapo, naiombea tule ubwabwa....New cp in JF.
Na iwe hivyo.Idumu sana hii kapo, naiombea tule ubwabwa....
Kamati ya vinywaji nshawahi.
Naunga dots, sijui nishapatia!!Idumu sana hii kapo, naiombea tule ubwabwa....
Kamati ya vinywaji nshawahi.
Unga hadi upatie, nami niliteseka sana huko kuunga....hadi dots zikatiki😁Naunga dots, sijui nishapatia!!
Kuna namna nilikuwa nasoma Ila sikuelewa hapo mwanzo, nahisi kabisa treni ilifika kigoma then imeanza kurudi Dar kwa kubeba abiria mwingine.Unga hadi upatie, nami niliteseka sana huko kuunga....hadi dots zikatiki[emoji16]
😂😂😂😂Kuna namna nilikuwa nasoma Ila sikuelewa hapo mwanzo, nahisi kabisa treni ilifika kigoma then imeanza kurudi Dar kwa kubeba abiria mwingine.
Usicheke, niambie kama ninavyowaza ndivyo au sio![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hayana formula haya.. [emoji23]
Mmh najitahidi ninyamaze nashindwa, hahahahha ntakuambiaUsicheke, niambie kama ninavyowaza ndivyo au sio!
[emoji23][emoji23][emoji23]Mmh najitahidi ninyamaze nashindwa, hahahahha ntakuambia
(Uchawa utanishinda nakua mbea)
Haya mambo yamefanyika kidikteta sana...Yani Honda alimchukua yule bwana kwa Cassy. Sasa age difference ya Cassy na yule Honda si ni tofauti kabisa, labda jamaa mwenye akili awe na range ya 50+. Basi Cassy awe na mzee wa magari ya masafa marefu.
acha kuonea wakulima, mimi nimetengeneza mamilioni na kilimo mkuuhuku wengi wetu wakulima...
APANA, usajua ya kua kutazma porn kulingana na utafiti wa vyuo kadhaa huko ulaya kunapunguza uwezo wa kufikilia na kufanya maamuzi bora, In short watching porn reduces your brains ability to be innovate and to have clarity of issues, sio vyema kabisa kabisa mkuu, acha kabisa nakusini pls pls, mimi hutoa ushauri wa bure pale naona binadamu wenzangu atapata madhara haswa ya akilikuliko kuanzisha urafiki humu huo muda bora nitazame X
huyu pengine aje PM yangu nimufundise english,'I was finish in everything ' ndo alikuwa anasema nini?
Umufundise....huyu pengine aje PM yangu nimufundise english,