Vimbwanga na Visa vya mahusiano ya JF

Vimbwanga na Visa vya mahusiano ya JF

Lakini usije ukawabwagia siri zao huku public.najaribu kuwaza kwa mapana tu😎
Ndiyo maana siku hizi sina hizo interest, vitoto vingi!! Miaka ya nyuma nilishakutana na wengi tu, wake kwa waume kwa mambo mbalimbali! Kifupi, JF ilikuwa ni more than msaada!!
 
Ndiyo maana siku hizi sina hizo interest, vitoto vingi!! Miaka ya nyuma nilishakutana na wengi tu, wake kwa waume kwa mambo mbalimbali! Kifupi, JF ilikuwa ni more than msaada!!
Basi tu yani ni upuuzi mwingi na utoto wa kutosha.yani mkutane huko kwa mapenzi yenu mshindwane...uje umwage upuuzi wenu huku public!

Ni utoto uliopitiliza viwango mkuu..inabidi kuishia kuangalia tu
 
Kwakweli nawe uumize kichwa mi sikuambii kitu, mwenyewe nilihangaika sana hadi kifua kilibana kwa kukaa na maneno sina pa kuyaongelea.....[emoji16]
[emoji3][emoji3][emoji3]daahh...wantoa jasho bwana nambie tu life linipige na hata umbea wa humu
 
Siku umemkomalia Shunie nikawa nacheka kimoyo moyo maana nilishawashtukia kitambo.

Halafu umesahau ule mtifuano bibie alisemaga tunamtongozea bwanake pm? Shunie nae alikuwa mlaumiwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sikuwepo mtifuano urudiwee urudiwee....😂😂
Hata mi nna malalamiko shunie amefanya udikteka katika hili, ilitakiwa jimbo litangazwe tujaze fomu tugombee, sasa yeye kajipitisha bila kupingwa.

Kwakua nshaamua kuwa chawa wao nimesarenda, nawatakia kila laheri yani wapendane hadi mwisho wa jf 😂, nikimuona mtu anamnyapia nyapia shemela ntamtoa damu. Shunie mlinzi unae yani mi ndio mwarabu fighter wako
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bwana ulikuwepo mbona!! Tena ulitema cheche za hatari bibie akabaki anajichekesha chekesha tu.

Mie nasubiri Shunie alete utambulisho rasmi nidai vitenge kwa mkwe[emoji126][emoji126][emoji126]
Kwakweli siikumbuki hiyo siku....
Yani hii kapo naiombea heri, wapendane sana.
Shunie ntakua nakuja kuja pm kukupa hata vitips vya kumburudisha shemela 😂😂. Hii kapo ilete ndoa Amen
 
Halafu aliingilia tu hata hakutajwa, akasema kanunua ugomvi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] haki nilicheka ile siku. Eve kanishinda tabia.
😂😂😂😂😂 Daaaah yani kumbukumbu hazikuji, kumbe hii kapo nilianza kuifaitia kabla haijaexist...
 
Back
Top Bottom