Vimbwanga na Visa vya mahusiano ya JF

Vimbwanga na Visa vya mahusiano ya JF

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nafuatilia kwa kucheka mno..Haki umenichekesha..

Kwamba utamtoa mtu damu[emoji23][emoji23][emoji23]
Naona shughuli tunayo... Usinisahau kwenye maandalizi Mama..
Ntamtoa damu atakaejaribu kujiingiza kwa namna yeyote ile kwenye hii kapo....😁
Sitaki hata wasemwe.
Kwenye kamati lazima uwepo, hata Dinazarde atakuwepo
 
Nilikutana na mtu humu tukachart kweli for al most 5 months picha nilizokuwa nimetumiwa sizo zenyewe. For more months to come finally video chart kumbe sio mwenye zile picha kazi na kila kitu alicho kisema sio so chakufanya nikumdelete tu.

Mwingine kasema i am single and i was finish in every thing. For 2 months tulivyokuwa tunachart his married. Another round is kukutana na mtu live but later anakuwa humuelewi.

NILIWAZA NIKAONA HIVI MAPENZI YA MITANDAONI NI KUWASTE TIME SERIOUSLY. WAPO WALIOWIN WAPO WALIOUMIA MIMI SIJAUMIA ILA NIMEJUA KUWA HUMU LAZIMA UWE MAKINI.

Ok umeeleweka mkuu.
 
Sikuwepo mtifuano urudiwee urudiwee....[emoji23][emoji23]
Hata mi nna malalamiko shunie amefanya udikteka katika hili, ilitakiwa jimbo litangazwe tujaze fomu tugombee, sasa yeye kajipitisha bila kupingwa.

Kwakua nshaamua kuwa chawa wao nimesarenda, nawatakia kila laheri yani wapendane hadi mwisho wa jf [emoji23], nikimuona mtu anamnyapia nyapia shemela ntamtoa damu. Shunie mlinzi unae yani mi ndio mwarabu fighter wako
Chawa kama chawa....!!!hongera!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mmmh afu wewe, inamaana hii miaka miwili ya jf tayari ndoa, tayari watoto???
More than two years mbona dada kathibitisha kwenye uzi wake watu walimuhoji huko....
 
Back
Top Bottom