Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yupo hapa tangu saa kumi, nadhani yupo na pop corn....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yupo hapa tangu saa kumi, nadhani yupo na pop corn....
Ntamtoa damu atakaejaribu kujiingiza kwa namna yeyote ile kwenye hii kapo....😁[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nafuatilia kwa kucheka mno..Haki umenichekesha..
Kwamba utamtoa mtu damu[emoji23][emoji23][emoji23]
Naona shughuli tunayo... Usinisahau kwenye maandalizi Mama..
Ww cheza na mbunye yake tu......'I was finish in everything ' ndo alikuwa anasema nini?
Wanahitaji ulinzi kwakweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ntamtoa damu atakaejaribu kujiingiza kwa namna yeyote ile kwenye hii kapo....[emoji16]
Sitaki hata wasemwe.
Umepata mwenza humu JF.....Wengine tunaingia kwenye ndoa sasa, kwa hii hii Jf
Mwarabu fighter nipo, na ulinzi utaongezwa siku zinavoenda...Wanahitaji ulinzi kwakweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwarabu fighter nipo, na ulinzi utaongezwa siku zinavoenda...
Sahivi sijui watakua wanakula Ice cream, sijui wanakunywa kahawa, sijui wine....aiiiiii mapenzi matamu nyie.
Nilikutana na mtu humu tukachart kweli for al most 5 months picha nilizokuwa nimetumiwa sizo zenyewe. For more months to come finally video chart kumbe sio mwenye zile picha kazi na kila kitu alicho kisema sio so chakufanya nikumdelete tu.
Mwingine kasema i am single and i was finish in every thing. For 2 months tulivyokuwa tunachart his married. Another round is kukutana na mtu live but later anakuwa humuelewi.
NILIWAZA NIKAONA HIVI MAPENZI YA MITANDAONI NI KUWASTE TIME SERIOUSLY. WAPO WALIOWIN WAPO WALIOUMIA MIMI SIJAUMIA ILA NIMEJUA KUWA HUMU LAZIMA UWE MAKINI.
Kwakweli, lazima iwe shughuli shughuli kweli[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kamati kuu..
Huna shughuli ndogo Mama..
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kwakweli, lazima iwe shughuli shughuli kweli[emoji1787]
Chawa kama chawa....!!!hongera!!!Sikuwepo mtifuano urudiwee urudiwee....[emoji23][emoji23]
Hata mi nna malalamiko shunie amefanya udikteka katika hili, ilitakiwa jimbo litangazwe tujaze fomu tugombee, sasa yeye kajipitisha bila kupingwa.
Kwakua nshaamua kuwa chawa wao nimesarenda, nawatakia kila laheri yani wapendane hadi mwisho wa jf [emoji23], nikimuona mtu anamnyapia nyapia shemela ntamtoa damu. Shunie mlinzi unae yani mi ndio mwarabu fighter wako
Shemeji atakuja kutoa mwongozo....😁Ndoa lini hatutaki kuchelewa kula ubwabwa
😂😂😂😂 Ahsante...Chawa kama chawa....!!!hongera!!!
Maana yule hakumcheleweshea ndoa na huyu tunataka haraka sana aoe tule birianiShemeji atakuja kutoa mwongozo....[emoji16]
😂😂😂😂😂 Mmmh afu wewe, inamaana hii miaka miwili ya jf tayari ndoa, tayari watoto???Maana yule hakumcheleweshea ndoa na huyu tunataka haraka sana aoe tule biriani
More than two years mbona dada kathibitisha kwenye uzi wake watu walimuhoji huko....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mmmh afu wewe, inamaana hii miaka miwili ya jf tayari ndoa, tayari watoto???