Vimbwanga ndani ya vyumba vya mtihani.

Nakumbuka zile pepa za Econometrics na Management Accounting ilikua tukiisha iona pepa nawacheki client wenzangu maana tulikua tuna network na server moja. Basi tukijikuta tuaangaliana na jua hii ya leo ni harusi kila mtu bila bila. Tunachomoka na pepa moja kwa moja kutafuta vyeti vya hospitali kwamba hatukufanya tulikua wagonjwa.
 
Yaan najiuliza hao watu walikuwaga wanaandika nini ?mi siwezi andika mabitu marefu
 
huyu jamaa ni Genius..,doh!
aliwaza mbali hatari
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahahaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umenichekesha sana nakumbuka UD kuna jamaa alimeza kitini chezea kushikwa
 
Inabidi uandike muandiko mkubwa ili uende nae sawa katika uchukuaji wa makaratasi
 
Hahaaa Umenikumbusha 4m four..
Pepa la Mock ya TAHOSA mtihani haueleweki ilikua Math dogo mmoja yeye kazi yake alihesabu manen yote yalyoandikwa Tahosa Alianza kuhesabu upande wa Row akamalizia na Colum. Hakujaza kitu
 
Kipindi nipo Chuo hakuna mitihani iliyokua inanifanya nihesabu wingi wa watu kama mitihani ya code..hahaha

Unaona mwenzio anashusha macode unaishia kutumbua macho kwenye booklet dah
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] safi sanaa toba nafsi yangu

Ila wewee jamaa una storiiiiiii
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] smart hadi utapelii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…