Certified Hater
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 1,760
- 3,733
Nakumbuka zile pepa za Econometrics na Management Accounting ilikua tukiisha iona pepa nawacheki client wenzangu maana tulikua tuna network na server moja. Basi tukijikuta tuaangaliana na jua hii ya leo ni harusi kila mtu bila bila. Tunachomoka na pepa moja kwa moja kutafuta vyeti vya hospitali kwamba hatukufanya tulikua wagonjwa.