Vimbwanga Uswahilini !!!

Uswaz bana nyumban kwenu mnaweza kosa sehem ya kukaa na kupunga upepo..mnahamia kwenye tairi la barabarani nyumba nzima...mnatandika mkeka unaziba had barabara
Halafu ole wako ukanyage kamkeka kao ...utajuta
 
Uswazi maswala ya chabo ni kitu cha kawaida sana
Kuanzia chooni hadi chumbani..ukiwa nje unapiga story wanakuchekea ila ukiingia chooni au chumbani "wanacheki kiddo"
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hahahaha umenikumbusha mbali aisee. Wahuni kibao uwanjani wanavuta ndumu a.k.a ganja
Halafu enzi hizo hakuna Smartphone basi ukiona paa la nyumba limejaa mawe madogomadogo ujue kuna binti mapepe.....ilikuwa ili kumwibua unatakiwa urushe jiwe juu ya bati usawa wa chumba chake....km ni kicheche hadi bati litaomba poo kwa kujaa matobo
 
Halafu enzi hizo hakuna Smartphone basi ukiona paa la nyumba limejaa mawe madogomadogo ujue kuna binti mapepe.....ilikuwa ili kumwibua unatakiwa urushe jiwe juu ya bati usawa wa chumba chake....km ni kicheche hadi bati litaomba poo kwa kujaa matobo
Hahahaha umenifanya nicheke sana hapa. Sehemu za kukutania vichochoroni
 
Bitoz karibu nakoz camp upige nondo kisha nikupeleke mabibo mpakani uwanjani karibu na kituo cha polis ukajilipue. Ha haaaa, yaani uswaz ni balaaa pale mpakani palikuwa panajaaa shazi la wala ngada na pembeni kunan kituo cha polis,polis nao hata hawashughuliki nao,moshi inaingia mpaka caunter,
 
Hahahaaaa mkuu mimi ni bishoo tu....sichomelei mdomo(kuvuta fegi) wala sina element za ukorofi
 
1. Ushajiuliza kwa nini sinema ya kigodoro iliuza sana huko mnakooya ushuani..?? Mnaadmaya maisha yetu ya uswahilini

2. Ushajiuliza wale dagaa mchele na mihogo pale koko bichi wateja wao ni akina nani..?? biashara zile ni za uswahilini na wa ushuani hamuwezi kuja temeke au mbagala au gongolamboto hivyo mnaletewa huko huko... MAANA YAKE MNAYAADMAYA MAISHA YETU

3. Wapo wengi sana wanaishi huko mnakoita ushuani lakini maisha yao ni kama yetu tu.. huko wako kama vile LOCATION wnaigiza mivi.

4. Wapo wengi sana wanaishi kwa tabu huko kisa jirani ana ghorofa hivyo analitumia ghorofa hilo kujisifia uswahilini..
 
Maajabu ya Joto City !

Chimbuko la Panya road & Vigodoro !!

umetisha comment yako ndo # 1
Ni raha tu......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…