Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu enzi hizo hakuna Smartphone basi ukiona paa la nyumba limejaa mawe madogomadogo ujue kuna binti mapepe.....ilikuwa ili kumwibua unatakiwa urushe jiwe juu ya bati usawa wa chumba chake....km ni kicheche hadi bati litaomba poo kwa kujaa matoboHahahaha umenikumbusha mbali aisee. Wahuni kibao uwanjani wanavuta ndumu a.k.a ganja
Hahahaha umenifanya nicheke sana hapa. Sehemu za kukutania vichochoroniHalafu enzi hizo hakuna Smartphone basi ukiona paa la nyumba limejaa mawe madogomadogo ujue kuna binti mapepe.....ilikuwa ili kumwibua unatakiwa urushe jiwe juu ya bati usawa wa chumba chake....km ni kicheche hadi bati litaomba poo kwa kujaa matobo
Niko makini sanaAngalia usije ukajisahau zen masele wabebe msimu yako iliyotukuka na use mwisho wako hapa JF
Hahahaaaa mkuu mimi ni bishoo tu....sichomelei mdomo(kuvuta fegi) wala sina element za ukorofiBitoz karibu nakoz camp upige nondo kisha nikupeleke mabibo mpakani uwanjani karibu na kituo cha polis ukajilipue. Ha haaaa, yaani uswaz ni balaaa pale mpakani palikuwa panajaaa shazi la wala ngada na pembeni kunan kituo cha polis,polis nao hata hawashughuliki nao,moshi inaingia mpaka caunter,
Hahahaha tulia weweIPO siku utalizwa tu...kapite Buguruni kisiwani muda wa jioni
Njoo huku usolve maneno magumu....Hahahaha tulia wewe
NakujaNjoo huku usolve maneno magumu....
Vijimaneno vya kwenye JF
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
1. Ushajiuliza kwa nini sinema ya kigodoro iliuza sana huko mnakooya ushuani..?? Mnaadmaya maisha yetu ya uswahiliniWeek end hii unaibuka kiwanja gani mwanangu ?Au hutaki tukale gambe ?
Enewea...Uswahilini sehemu kama za Kiwalani, Temeke taa nyekundu, Keko, Mwanayamala, Manzese, Mabibo, Kigogo,Buguruni kisiwani n.k kuna vitu vya kufurahisa na kuchekesha licha ya visa na mikasa lakini utapapenda!!!
1/ Kila ukoo umetoa msomi aliyefeli(ZIRO)
Karibu kila koo ya uswahilini ambayo ina wahitimu wa sekondari huwezi kosa aliyepata sifuri na kama hakuna basi utakuta ni divisheni 4 za mwisho mwisho.....Chezea St. Kayumba wewe?
2/ Kila nyumba ina biashara
Karibu kila nyumba ina mfanyabiashara mfano muuza genge,muuza karanga,mchoma vitumbua,wauza gongo n.k ukiona nyumba ipo kimya basi jua humo ndani kuna kibaka,teja au muokota chupa za plastic......Full watafutaji!!!
3/ Kuharisha sio ugonjwa
Kutukana na kutawaliwa na uchafu wa kila aina, tatizo la tumbo la kuhara ni kitu cha kawaida mtu anaharisha siku 3 kisha laifu linaendelea kama kawa.....Kipindupindu ni rafiki yetu bwana!!!!
4/Jero tu unakula kuku
Uswahilini raha bwana ukiwa na hero tu unaonja nyama ya kuku(vishombo) kama vile utumbo, miguu, vichwa n.k...Ukiwa na buku unashiba supu ya makwasukwasu....Ni raha tu !!!
5/Babu jambazi, baba kibaka + mjukuu mwizi
Waliosema maji hufuata mkondo hawajakosea...Uswaz bhana unaweza kukuta familia nzima wamerithishana ujuzi wa kufanya uhalifu...sijui uzao wa panya road utaleta kizazi gani !!!
6/ Full vibanda umiza
Kama wewe ni shabiki wa soka na unapenda kucheki game basi njoo vibanda vya uswahilini ...kuna visa na maudhi na usipokuwa mvumilivu unaweza kuua mtu !!!
7/ Nyumba 1 watu kibao
Sio jambo la kushangaza kukuta kanyumba kadogo uswaz kamejaa wapangaji kibao...baba,mama,watoto chumba kimoja na bado kuna vita ya kugombea tundu la choo baina ya wapangaji.....Ukipiga filimbi ya mwizi idadi ya watu wanaoibuka kutoka mahomu utashangaa !!
8/ Kila siku ni week end
Uswahilini wanapenda starehe bwana asikwambie mtu,wanafunzi hawapendi shule, wazazi walevi wa mataputapu, Vijana ni mwendo wa viroba feki na ganja + unga ,Sio jambo la ajabu kuwakuta waswaz washalewa saa 2 ya asubuhi tu....Kila siku ni week end anytim !!!
9/Chimbuko la wasanii&wanamichezo
Uswaz kunaongoja kwa kutoa wasanii wakali mfano Diamond vilevile wanamichezo wengi pia wametokea uswahilini....yaani full vipaji.....Hata Bitoz anayesumbua Chit Chat ni mtoto wa Uswahilini !!!
*** Think Big ....ota kidogo !! ***
Mtoto wa mama
The Bitoz
Maajabu ya Joto City !1. Ushajiuliza kwa nini sinema ya kigodoro iliuza sana huko mnakooya ushuani..?? Mnaadmaya maisha yetu ya uswahilini
2. Ushajiuliza wale dagaa mchele na mihogo pale koko bichi wateja wao ni akina nani..?? biashara zile ni za uswahilini na wa ushuani hamuwezi kuja temeke au mbagala au gongolamboto hivyo mnaletewa huko huko... MAANA YAKE MNAYAADMAYA MAISHA YETU
3. Wapo wengi sana wanaishi huko mnakoita ushuani lakini maisha yao ni kama yetu tu.. huko wako kama vile LOCATION wnaigiza mivi.
4. Wapo wengi sana wanaishi kwa tabu huko kisa jirani ana ghorofa hivyo analitumia ghorofa hilo kujisifia uswahilini..
Babu jambazi baba kibaka mjukuu mwizi....8/ Kila siku ni week end...naaaum na baadhi ya sehemu hukesha...utashangaa saa ngapi watafuta hela.