Vimbwanga Uswahilini !!!

Uswahilini mtt wako kufanana na jirani ndo ujirani mwema..
Ukiona hayo usimhoji saaana jirani nawe unamtafuta mtu wake na unasubiri wakati muafaka wa kuukonga mtima
 
Huo ujirani mwema hapana aisee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Huku kwetu uswazi hatugombani, kila mtu anaraha, kwa kawaida huku mtindo ni kuviziana na kucheeka unapomtaimu mwenzio. Huku ukiwa na hasira utagombana na watu mwishowe watakuona chizi. Wakikugongea mtu wako, unatulia, unavizia, akijipindua mtu wake unagonga unamaliza machungu.
 
Hata kuibiana malapa na kuku ni ujirani mwema pia
 
Hata kuibiana malapa na kuku ni ujirani mwema pia
Ahhahh sana, ukimuona mtoto wa jirani ana ndala zako, usimwangalie, fanya kama hujamuona. Taimu mlangoni kwao, akija mgeni mtume mtoto fasta akafanye mambo.
Ukiona manyoya ya kuku wako yamemwaga jalalani, mezea usipaniki, tafuta vimahindi ukiona kuku wake unamwaga mlangoni kwako. Unadondosha moja moja mpaka ndani kwako. Akichoma ndani, fasta unamwahi na kisu. Chinja tulia.
 
Shida ni kuiba ng'ombe coz ukichinja kule kichwa kinasumbua kutumbukiza chooni....tunaishia kuibiana kuku na bata tu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Shida ni kuiba ng'ombe coz ukichinja kule kichwa kinasumbua kutumbukiza chooni....tunaishia kuibiana kuku na bata tu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kwa hata ng'ombe washawahi kumuona laivu, ng'ombe kwetu wanamwona kwenye picha. Ukimleta, siku ya kumchinja mtaa mzima utajaa kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…