Vimelea vya Uzalendo alivyonavyo Kafulila ni turufu kwa CCM

Kama kweli aliweza kukataa TZS 3 bilioni kama rushwa toka kwa wababe wa Escrow chama Changu Cha Mapinduzi kijana huyu ni hazina kwetu tumpende tusimpende Taifa lote linatutazama sisi.

Nashauri chama changu cha Mapinduzi CCM kianze polepole kumsogeza huyu mtu karibu kwakuwa ni hazina kwa Chama na kwa Taifa kwani ni kielelezo Cha Uzalendo walionao baadhi ya vijana wa Taifa hili kwa nchi yao Tanzania.

Ni Mimi mwanahabari wa Taifa.
Tunajua amekulipa
 
Utumbili ni ujinga, unahangaika sana mitandaoni kujipost post, CCM sio wajinga hivyo hadi ujitangaze tangaze kila mitandao unajitangaza, huo ni ujinga mkubwa,, huna la maana lolote, CCM ni Chama chenye watu wenye akili nyingi mno, hata ujipost mara milioni, kama hufai hufai tu
 
Tofautisha kati ya Uzalendo na Ushamba,Kafulila ni mshamba unakataaje 3B halafu home majanga😀
Hakukataa

Kurudisha pesa iliyobaki kwenye miradi now wajibu

ILA jamaa sijui analipa kiasi gani kurushwa humu jf

Inanikumbusha MUSAFIRI DIOUF NA WAPII PAPAA MUNDENDE, 🎼🎺🎹 au ndanda Kosovo kichaa na pedejshee ndama
 
Sijazungumzia mambo ya kurudisha pesa kwenye mradi jitulize soma vizuri
 
Utumbili ni ujinga, unahangaika sana mitandaoni kujipost post, CCM sio wajinga hivyo hadi ujitangaze tangaze kila mitandao unajitangaza, huo ni ujinga mkubwa,, huna la maana lolote, CCM ni Chama chenye watu wenye akili nyingi mno, hata ujipost mara milioni, kama hufai hufai tu
Ngoja tuone CCM kama kweli haitambui vijana Wazalendo kama huyu wakukataa 3b mchana kweupe
 
Kama kweli aliweza kukataa TZS 3 bilioni kama rushwa toka kwa wababe wa Escrow chama Changu Cha Mapinduzi kijana huyu ni hazina kwetu tumpende tusimpende Taifa lote linatutazama sisi.

Nashauri chama changu cha Mapinduzi CCM kianze polepole kumsogeza huyu mtu karibu kwakuwa ni hazina kwa Chama na kwa Taifa kwani ni kielelezo Cha Uzalendo walionao baadhi ya vijana wa Taifa hili kwa nchi yao Tanzania.

Ni Mimi mwanahabari wa Taifa.
Idadi ya Chawa wa Kafulila JF inazidi ya Samia
 
Kama kweli aliweza kukataa TZS 3 bilioni kama rushwa toka kwa wababe wa Escrow chama Changu Cha Mapinduzi kijana huyu ni hazina kwetu tumpende tusimpende Taifa lote linatutazama sisi.

Nashauri chama changu cha Mapinduzi CCM kianze polepole kumsogeza huyu mtu karibu kwakuwa ni hazina kwa Chama na kwa Taifa kwani ni kielelezo Cha Uzalendo walionao baadhi ya vijana wa Taifa hili kwa nchi yao Tanzania.

Ni Mimi mwanahabari wa Taifa.
CCM kama itamlea vizuri huyu bwana anaweza kuwa kama Nyerere wa pili
Ogopa sana Mtu anacheua 3b cash dollar.
 
Kama kweli aliweza kukataa TZS 3 bilioni kama rushwa toka kwa wababe wa Escrow chama Changu Cha Mapinduzi kijana huyu ni hazina kwetu tumpende tusimpende Taifa lote linatutazama sisi.

Nashauri chama changu cha Mapinduzi CCM kianze polepole kumsogeza huyu mtu karibu kwakuwa ni hazina kwa Chama na kwa Taifa kwani ni kielelezo Cha Uzalendo walionao baadhi ya vijana wa Taifa hili kwa nchi yao Tanzania.

Ni Mimi mwanahabari wa Taifa.
3b😭😭😭😭
 
Ngoma ikipigwa sana mwishowe....

Angalieni msije mkaishia kumharibia; maana anaweza kuishia kuonekana kama threat kwa wenye mfumo!
 
Kafulila sio hazina kwa CCM tu mwandishi weka sawa
 
Back
Top Bottom