Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 1,913
- 2,286
TUMBILI ,TUMBILI,TUMBILI,TUMBILI , TUMBILI, yupo/upo kazini, waache bwatu wapumue, kila siku Nyuzi za TUMBILI.Kama kweli aliweza kukataa TZS 3 bilioni kama rushwa toka kwa wababe wa Escrow chama Changu Cha Mapinduzi kijana huyu ni hazina kwetu tumpende tusimpende Taifa lote linatutazama sisi.
Nashauri chama changu cha Mapinduzi CCM kianze polepole kumsogeza huyu mtu karibu kwakuwa ni hazina kwa Chama na kwa Taifa kwani ni kielelezo Cha Uzalendo walionao baadhi ya vijana wa Taifa hili kwa nchi yao Tanzania.
Ni Mimi mwanahabari wa Taifa.
Hivi nyie mnalipwa shilingi ngapi kwa huu UJINGA wa kunrand TUMBILI???🤔🤔🤔😅😅