4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
HI've
Hivi uyu kafulila yupo na lipi la ajabu, acheni michezo ya kitoto , hivi ukimwangalia usoni uyu yupo na uzalendo upi? Pelekeni ujinga huu fbKama kweli aliweza kukataa TZS 3 bilioni kama rushwa toka kwa wababe wa Escrow chama Changu Cha Mapinduzi kijana huyu ni hazina kwetu tumpende tusimpende Taifa lote linatutazama sisi.
Nashauri chama changu cha Mapinduzi CCM kianze polepole kumsogeza huyu mtu karibu kwakuwa ni hazina kwa Chama na kwa Taifa kwani ni kielelezo Cha Uzalendo walionao baadhi ya vijana wa Taifa hili kwa nchi yao Tanzania.
Mada hii itakuwa na nguvu tu endapo CCM itahitaji mwelekeo mpya wa siasa.
Ni Mimi mwanahabari wa Taifa.
Pia soma hii Watanzania wanaona nini kwa David Kafuli