Vimelea vya Uzalendo alivyonavyo Kafulila ni turufu kwa CCM

Kwani ni Raia sasa?
 
Nyie watu acheni kutuchanga,no wonder Kuna siku mtasema uzalendo alionao Nawanda unatosha kumpa nchi yetu ili awe Rais,nilienda kwa ofisi ya kafulila kumweleza shida zangu alinitimua kama mbwa,Bado Ile kashifa ya kuzuia michomoko isibebe abilia kule simiyu inamtafuna maana alizuia michomoko ili kuruhusu yeye kuingiza Hiace zake barabarani apige pesa ndefu.

Kwangu Mimi Kafulila ni muhuni tu
 
Kafulila una hangaika sana aisee, kila siku unatoa nyuzi zaaidi ya 10 kuna shida gani?
 
Ile michomoko ili zuiliwa nchi kwani huko kote alikuwa ni Kafulila?
 
Kafulila una hangaika sana aisee, kila siku unatoa nyuzi zaaidi ya 10 kuna shida gani?
Kwani wewe hizo nyuzi 10 zinakuingizia hasara yoyote?
Tanzania mnapenda sana nyuzi za umbea na udaku vitu serious kama hivi inakuwa nongwa.

Hivi kweli mtu aliyekataa 3bn za rushwa mnataka tusimjadili kweli?
Tunahitaji akina Kafulila wangapi kuipeleka hii nchi viwango vya juu?

Acha wazalendo wajadiliwe ndio Afya kwa Taifa
 
Ukifanya uzalendo hakuna haja ya kuhangaika kujipigia chapuo ili upate madaraka kwa njia za huruma au hisani. Hakuna uzalendo wa KULAZIMISHA kama huu wako unaojaribu kutuaminisha hapa kwa kutumia nguvu nyingi.

Kama vipi chukua fomu kwenye chama chako upimane nguvu na wagombea wenzako wa chama chako ili ukadhihirishe uzalendo wako kwa vitendo, sawa sawa?
 
Hata hivyo Mimi sio Kafulila ila napendezwa sana na wazalendo wote bila kujali wanatoka chama gani
 
Mrundi huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…