Vingilio baadhi ya BAR umekuwa ni Ushamba

Wakuu Salam sana,
Nipo Moro town, nikaona siyo mbaya nikafungue mwaka wakati napata vyombo murua.
Kichwani mwangu nikafukiria Samaki Samaki, Star Park na Eli's Pub.
Sasa nimeenda star park nakuta kingilio ni Bia 2 mlangoni, nikasepa, Samaki Samaki nakuta pamejaa afu pako wazi na Kuna manyunyu, nikaenda Eli's Pub nikakuta pako poa sana space bado ipo ndo nipo now.
Ila Star Park wamenikera, kwa zama hizi bado tunaweka vingilio mlangoni lazima, mfano mim sinywi Bia nakunywa pombe Kali why unilazimishe ninunue hizo Bia zako. Kiufupi hii imenikera na sijaipenda.
ni kukosa ubunifu
 
Wanapunguza machawa, ombaomba, Wezi wa bia zilizo baki nusu na vibaka
 
Kupembua mchele na chuya ni kuuza Bia shilingi elf Saba na Soda elf Nne na wala hakuna sababu ya kutoza kiingilio kama uwanja wa mpira.
Huna baa hujaimiliki biashara hiyo huna experience kaa kimya. Watu wanaingia baa za bei za juu kuzuga na kusubiri ofa, hawana hela ya kununua vinywaji vyao
 
Kama ndiyo hivyo basi Bar za hotelini zingejaa hao wazugaji, Bar za local ndiyo zina wazugaji lakini Bar zenye viwango vya kimataifa hakuna wazugaji yani uende Park Hyatt ukae Bar kwakuzuga bila kununua kitu wahudumu wakuangalie na ma supervisor wakuangalie tu. Tanzania inabidi tufanye Biashara ki professional ili Masikini na Matapeli wawe wanapita mbali kama kituo cha polisi. Lakini ukiendesha Bar kama banda la kuonyesha mpira lazima utajaza wezi na matapeli.
 
Wakuu Salam sana,
Nipo Moro town, nikaona siyo mbaya nikafungue mwaka wakati napata vyombo murua.
Kichwani mwangu nikafukiria Samaki Samaki, Star Park na Eli's Pub.
Sasa nimeenda star park nakuta kingilio ni Bia 2 mlangoni, nikasepa, Samaki Samaki nakuta pamejaa afu pako wazi na Kuna manyunyu, nikaenda Eli's Pub nikakuta pako poa sana space bado ipo ndo nipo now.
Ila Star Park wamenikera, kwa zama hizi bado tunaweka vingilio mlangoni lazima, mfano mim sinywi Bia nakunywa pombe Kali why unilazimishe ninunue hizo Bia zako. Kiufupi hii imenikera na sijaipenda.
Wewe umelewa gongo.Kuambiwa kiingilio bia mbili ambazo unakunywa mwenyewe nacho unaita kiingilio?Tuliza wenge mkuu.
 
Samaki samaki niliacha kwenda kuna siku nilienda nadhani zaidi ya miaka 7, nilikutana na kiingilio cha bk 5 tulikuwa 3, jumla bk15 mfukoni zikabki bk45 vinywaji kwa watu 3 Duu kwa bei yao ile na nyama choma ikabidi pruuuu , sijaenda tena na sitaenda kwa pesa yangu labda kwa mwaliko nilishajipiga marufuku
 
Kama ndiyo hivyo basi Bar za hotelini zingejaa hao wazugaji, Bar za local ndiyo zina wazugaji lakini Bar zenye viwango vya kimataifa hakuna wazugaji yani uende Park Hyatt ukae Bar kwakuzuga bila kununua kitu wahudumu wakuangalie na ma supervisor wakuangalie tu. Tanzania inabidi tufanye Biashara ki professional ili Masikini na Matapeli wawe wanapita mbali kama kituo cha polisi. Lakini ukiendesha Bar kama banda la kuonyesha mpira lazima utajaza wezi na matapeli.
Unachekesha sababu hujui, ungekuwa mmiliki ama mfanyakazi ungejua, wewe ni mtumiaji tu, wamiliki na wafanyakazi tunajua wazugaji na watumiaji wa kweli, tunajua nani toka aje ana bia moja ama maji tu kwa masaa manne toka aje, nani hanunuagi hadi offa na nani anatoa ofa bila kujali. Ndio sababu hizo coupon zipo, kuchuja angalau upate minimum revenue toka kwa kila patron
 
Wewe umelewa gongo.Kuambiwa kiingilio bia mbili ambazo unakunywa mwenyewe nacho unaita kiingilio?Tuliza wenge mkuu.
Yupo sawa boss. Hata mm miaka kadhaa nyuma nimeshanunulishwa baket ya bia ilihali sizihitaji, nikazigawa nilipoingia ndani. Wangetoa kama katiketi kenye value ya hizo bia ukiingia ndani ukatumie kununua kinywaji utakacho.
 
Ungewaambia wakupe fanta orenji zenye thamani ya hizo bia mkuu.
 
Labda wanafanya hivyo kupunguza wanaoingia kupoteza muda tu kiasi wanazibia nafasi wengine..hasa wale wanaogiza maji chupa moja tu au hawaagizi chochote na atakaa humo ndani hata masaa 5 na chupa la maji kiasi wateja wengine wakija wanaona pamejaa kumbe wengi wanazuga tu wakati wenzenu biashara ni hesabu na zinakwenda na muda ndio wameona bora waweke kiingilio wachukue faida yao mlangoni
 
Yupo sawa boss. Hata mm miaka kadhaa nyuma nimeshanunulishwa baket ya bia ilihali sizihitaji, nikazigawa nilipoingia ndani. Wangetoa kama katiketi kenye value ya hizo bia ukiingia ndani ukatumie kununua kinywaji utakacho.
Huenda kulikuwa na event maalum zinazodhaniwa na makampuni ya bia, kama ni hivyo kiingilio huwa ni bia wanayoifanyia promosheni. Hapo huwezi kubadilisha na kinywaji kingine sababu nao lengo ni kupush bia husika
 
Back
Top Bottom