jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Mkuu tapel na Mzugaji elf tano ni ndogo atalipia tu tofauti pasipo wekwa kiingilio na tapeli akiingia akiagiza Maji tena maji dogo anauziwa elf tatu na Bia local elf Saba, akijaribu kuagiza chips na mchikaka anakuta bei elf kumi na tano. Na akijaribu kuagiza konywagi ndogo anakuta inauzwa bei kubwa mara mbili ya bei ya kawaida nakuakikisha ataondoka Masaa siyo mengi na atakuja kutoa huzi hapa matapel wenzake watajua. Biashara ukishaiweka kwenye Daraja la kwanza Nakuakikushia masikini na matapeli wazugaji wataipitia mbaliUnachekesha sababu hujui, ungekuwa mmiliki ama mfanyakazi ungejua, wewe ni mtumiaji tu, wamiliki na wafanyakazi tunajua wazugaji na watumiaji wa kweli, tunajua nani toka aje ana bia moja ama maji tu kwa masaa manne toka aje, nani hanunuagi hadi offa na nani anatoa ofa bila kujali. Ndio sababu hizo coupon zipo, kuchuja angalau upate minimum revenue toka kwa kila patron
Nilishawai kuishi Zanzibar, kule Zanzibar kuna Hoteli Nyingi mno kwa Tanzania Zanzibar ndiyo sehemu inayoongoza kwa Hoteli Nyingi na Restaurants pamoja na Bar ndani ya hotel.lakini huwezi kukuta tapeli na Masikini kaenda kula na kunywa na kuogolea kwasababu vitu bei Ghari mfano ice cream tu inauzwa elf 8 tena unapimiwa kwenye kikopo ukubwa wa kikombe cha wauza kahawa. Ndiyo Maana Wananchi wanaishi Kule sehemu za kula Bata wanazipita kama Kambi za jeshi, yani Wananchi wakitaka kwenda Beach siku ya sikuku wanabeba vyakula vyao pamoja na vinywaji ili wakatumie, Tofauti na Tanganyika kukuta familia inatoka Out wanabeba ndoo za pilaf na Soda na maji lakini Zanzibar ni kitu cha kawaida kwasababu huduma za starehe ni Ghari mno.