Vingilio baadhi ya BAR umekuwa ni Ushamba

90% wanakunywa bia
Kibiashara hio iko poa sana ila Kwa wasiokunywa walitakiwa kuweka alternative method
 
Hao nao biashara hawaijui inatakiwa upewe kuponi ukizama ndan ndio unaamua utumie kuponi kunywa bia au maji au iyo konyagi yako
 
Eti ya kuingia hapo Bar sio Club kumbukaa..πŸ˜†πŸ˜†
Sasa kwa mfano umetoka nje labda kwenda kutoa pesa napo ukirudi utalipia tena Maana wanaweza wasikukumbuke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…