Vinicius Junior: La Liga imetawaliwa na ubaguzi wa rangi

Vinicius Junior: La Liga imetawaliwa na ubaguzi wa rangi

na kwanini awe yeye tu? Real Madrid kuna wachezaji weusi wangapi? mbona hakuna mwengine aliyefanyiwa hayo maudhi?
Kwa sasa duniani hakuna winga kama Vini Jr. Si mshabiki sana wa Mpira ila huwa naangalia mara moja moja. Jamaa anaweza sana na hiyo ni mbinu ya kumtoa mchezoni.
 
Kwa sasa duniani hakuna winga kama Vini Jr. Si mshabiki sana wa Mpira ila huwa naangalia mara moja moja. Jamaa anaweza sana na hiyo ni mbinu ya kumtoa mchezoni.

sasa kwanini anakubali kuingia mtegoni?
 
La Liga wajitafakari, watu wanasema kwanini kila siku Vini tu na sio weusi wengine. Hapohapo wajiulize kwanini haya matukio hayamtokei kwenye mechi za UEFA?!
Jibu ni rahisi sana kwa sababu vin ndiye key player wa Madrid kwa sasa magoli mengi yanatokea kwake...hao waliokuwa wanaomuita nyani walikuwa wanafanya ivo makusudi ili kumtoa mchezoni
 
Mimi ni shabiki wa RMA ila Vini kazingua sana kwani mweusi alikua peke yake uwanjani? yule dogo ana mambo mengi yasiyo na faida huwezi kucheza kwenye pitch akili zipo jukwaani ! atulize akili acheze mpira ubaguzi siku hizi umepungua sana Italy na Germany ndio kulikua makao makuu ya ubaguzi lakini siku hizi hatusikii matukio .
Acha kutetea wazungu chief...dogo anajua mpaka anakera ndio maana wanamzomea na kumuita majina ya kiubaguzi ili kumtoa mchezoni
 
Hivi ubaguzi unawezaje kuumiza mtu ?
Katika watu ambao wanakuwaga i don't care ni Mimi
Nimewahi kufanya kazi sehemu ambayo kulikuwa ubaguzi wa rangi wafanyakazi wenzangu walikuwa wana nitukana kila kukicha Wala sikuchukuwa mda Wangu kuwajibu Wala kuumizwa Na wanacho kisema nilipambana Na kazi yangu mpaka ikafika hatua wenyewe wakachoka Zao
Kwa hiyo Kuna mda chukulia ni kawaida tu wewe angalia malengo Yako tu wakutukane wanavyo jua wewe pambana tu hata sisi waafrika tunabaguana sisi kwa sisi Hakuna sehemu ambayo Kuna kosa ubaguzi duniani
Acha kujustfy ubaguzi chief
 
Ila tatizo ni mdomo wake, kwanini Rodrigo, Rudiger hawajawahi kutwa na hiyo kadhia?

Vini bado ana utoto na ubishi usio na sababu na ndo maana kila mechi lazima aliwe kadi.

Mi shabiki wa Madrid ila dogo huwa anazingua na ndo maana marefa humdunga kadi.
Hao uliowataja sio washambuliaji wasumbufu km vin ...kinachomgharim vin ni kwa sababu anajua sana kulisakata kabumbu
 
Vinicious junior akupaswa kuumia hata kidogo Bali alitakiwa kufurahia sababu binadamu pure na asilia alieumbwa na mwenyezi MUNGU ni mtu mweusi nasio Mzungu.
 
Hispania kiujumla ni wabaguzi wa rangi kuliko Taifa lolote duniani.

Ndiyomaana hata nami huwa nashangaa Watu wanaojipendekeza kwa Pep Kiparangoto, lina ubaguzi kupita maelezo na lilibaguaga akina Samuel E'too na Yaya Toure.

2019 lilihamasishaga ubaguzi wa ile Catalonia kipindi kile wanataka wajitenge na nchi ya Hispania wakiamini wao ni sayari nyingine kabisa kwa utajiri wa rasilimali zao za madini na wingi wa Wachezaji bora wakidai bila wao basi Hispania haiwezi kuendelea kabisa kifedha.

Pep Kiparangoto lilisapoti huo upumbavu lilipigwa faini na FA maana kwa sheria za UK Kocha hatakiwi kujihusisha kivyovyote na maswala ya kisiasa.
Hata man city Ina wachezaji weusi wawili tu
 
niambie wachezaji walikuwepo kabla ya pep aliyebaki ni kdb tu sterling hakusajiliwa na pep ko ni haki yake kumtoa au laa mbona husemi mane kaharibiwa ndoto na klopp
Pep ndo kaharibu ndoto za Sterling
 
Back
Top Bottom