Vinicius Junior: La Liga imetawaliwa na ubaguzi wa rangi

na kwanini awe yeye tu? Real Madrid kuna wachezaji weusi wangapi? mbona hakuna mwengine aliyefanyiwa hayo maudhi?
Kwa sasa duniani hakuna winga kama Vini Jr. Si mshabiki sana wa Mpira ila huwa naangalia mara moja moja. Jamaa anaweza sana na hiyo ni mbinu ya kumtoa mchezoni.
 
Kwa sasa duniani hakuna winga kama Vini Jr. Si mshabiki sana wa Mpira ila huwa naangalia mara moja moja. Jamaa anaweza sana na hiyo ni mbinu ya kumtoa mchezoni.

sasa kwanini anakubali kuingia mtegoni?
 
La Liga wajitafakari, watu wanasema kwanini kila siku Vini tu na sio weusi wengine. Hapohapo wajiulize kwanini haya matukio hayamtokei kwenye mechi za UEFA?!
Jibu ni rahisi sana kwa sababu vin ndiye key player wa Madrid kwa sasa magoli mengi yanatokea kwake...hao waliokuwa wanaomuita nyani walikuwa wanafanya ivo makusudi ili kumtoa mchezoni
 
Acha kutetea wazungu chief...dogo anajua mpaka anakera ndio maana wanamzomea na kumuita majina ya kiubaguzi ili kumtoa mchezoni
 
Acha kujustfy ubaguzi chief
 
Hao uliowataja sio washambuliaji wasumbufu km vin ...kinachomgharim vin ni kwa sababu anajua sana kulisakata kabumbu
 
Vinicious junior akupaswa kuumia hata kidogo Bali alitakiwa kufurahia sababu binadamu pure na asilia alieumbwa na mwenyezi MUNGU ni mtu mweusi nasio Mzungu.
 
Hata man city Ina wachezaji weusi wawili tu
 
niambie wachezaji walikuwepo kabla ya pep aliyebaki ni kdb tu sterling hakusajiliwa na pep ko ni haki yake kumtoa au laa mbona husemi mane kaharibiwa ndoto na klopp
Pep ndo kaharibu ndoto za Sterling
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…