Uweke sebuleni.. Pharaohs wana roho na zinaishi... Ni mapepoKuna hii midoli kama huu, ubavu wangu alienda huko Egypt akarudi nao kama souvenir, ni mzito ni wa chuma flan hivi na alama ya nyoka hapo juu. niliambiwa sijui ni Pharaoh. Tatizo upo chumbani kwetu tena juu ya kabati oposite na kitanda, kila tukilala unatuangalia. Sasa mimi huwa unanikosesha amani kabisa kila nikiuangalia nakosa amani kabisaa ila kuutoa na kuuhamisha siwezi maana itazua ugomvi, Hapo vipi Mshana, hii ni alama tu ya kawaida ya Pharaoh kweli maana mi sina amani nao kabisa.
Kumbuka hata musa aliambiwa atengeneze nyoka wa shaba nakila alietazama alipona"Usijifanyie sanamu ya kuchonga, mfano wa kitu chochote kilicho juu mbinguni, au kilicho chini duniani. Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, nawapatiliza wana uovu wa baba zao; hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao".
(Kumb 5:8-9).
cc MaxShimba
Ivi hiii ni sanamu ya pharaoh [Firauni] au ni malikia Cleopatra wa misriKuna hii midoli kama huu, ubavu wangu alienda huko Egypt akarudi nao kama souvenir, ni mzito ni wa chuma flan hivi na alama ya nyoka hapo juu. niliambiwa sijui ni Pharaoh. Tatizo upo chumbani kwetu tena juu ya kabati oposite na kitanda, kila tukilala unatuangalia. Sasa mimi huwa unanikosesha amani kabisa kila nikiuangalia nakosa amani kabisaa ila kuutoa na kuuhamisha siwezi maana itazua ugomvi, Hapo vipi Mshana, hii ni alama tu ya kawaida ya Pharaoh kweli maana mi sina amani nao kabisa.
Leta ushahidi.Kumbuka hata musa aliambiwa atengeneze nyoka wa shaba nakila alietazama alipona
Nakubaliana nawe 100%Huwa tunafuga majini, vinyamkera, madogoli na roho chafu majumbani kwetu bila kujua. Tunanunua vinyago na midoli ya gharama kwa ajili ya kupendezesha sebule zetu na wakati mwingine kama kampani vitandani mwetu...
Hatutishani lakini ni hatari, vina roho hivi vitu!
Wengi wetu tumeshawahi kuona zana za waganga wa kienyeji na wachawi, hawakosi vinyago na midoli, pia tumeshawahi kuona wale wenzetu waabuduo miungu wana masanamu mengi sana...! Yale yote yamebeba roho na ndio hizo wanazoziabudu.
Kuna roho zinatangatanga duniani hazina makazi baada ya majumba (miili) yao kuharibika (kufa) hivyo huwayawaya huku na kule zikitafuta makazi. Kwa kuwa roho haiwi na nguvu mpaka ipate pa kukaa. Sasa ndugu yangu unajaza midoli nyumbani au kwenye gari au ofisini unavutia na kukaribisha mapepo.
Zipo shuhuda mbalimbali za watu waliofanyiwa mambo au kuona mambo ya ajabu kutoka kwenye midoli na vinyago....
Punguza kuhifadhi hivi vitu vyaweza kuwa na roho zenye madhara makubwa..
Sasa TuTum Kamuni wangu wa Egypt kwa pounds nyingi za Kimisri naenda kuchoma hv hv
Hata picha za ukutani zile artistic hubeba majini.Mungu asipolinda nyumba walindao wakesha bure. Lakini pia kwa wakristo Mungu mwenyewe kwenye biblia amekataza haya masanamu..
hizo roho chafu hupenda kukaa kwenye kitu chochote unachokipenda na kukithamini, zimaweza kukaa hata kwenye mafuta ya kupaka au hata kwenye nywele zako..
Cha muhimu ni kujiweka chini ya ulinzi wa Mungu,hizo roho hazitakusogelea kabisa.
Kwa wasomi wa Qur-ani hakuna jipya wala chakushangaza hapo, na sikuvimiliki tu hata kuvitengeneza ni kosa, Ila kuna lile linalonasibishwa na Mama wa Mungu kwakweli tunahitaji elimu zaidi ili tuamini kwelikweli.
Huwa tunafuga majini, vinyamkera, madogoli na roho chafu majumbani kwetu bila kujua. Tunanunua vinyago na midoli ya gharama kwa ajili ya kupendezesha sebule zetu na wakati mwingine kama kampani vitandani mwetu...
Hatutishani lakini ni hatari, vina roho hivi vitu!
Wengi wetu tumeshawahi kuona zana za waganga wa kienyeji na wachawi, hawakosi vinyago na midoli, pia tumeshawahi kuona wale wenzetu waabuduo miungu wana masanamu mengi sana...! Yale yote yamebeba roho na ndio hizo wanazoziabudu.
Kuna roho zinatangatanga duniani hazina makazi baada ya majumba (miili) yao kuharibika (kufa) hivyo huwayawaya huku na kule zikitafuta makazi. Kwa kuwa roho haiwi na nguvu mpaka ipate pa kukaa. Sasa ndugu yangu unajaza midoli nyumbani au kwenye gari au ofisini unavutia na kukaribisha mapepo.
Zipo shuhuda mbalimbali za watu waliofanyiwa mambo au kuona mambo ya ajabu kutoka kwenye midoli na vinyago....
Punguza kuhifadhi hivi vitu vyaweza kuwa na roho zenye madhara makubwa..
Tuwe na subira tunaweza kupata mkombozi.
[emoji44]
Jr[emoji769]
π€π€π€π€π€Ili nitokea kabisa hii issue live bila chenga kabisa. Hakuna lisilowezekana chini ya jua. Mwanzo nilikua mgumu siku yaliyonipata ndo nikaelewa. Dunia ina mambo mengi sana yanaendelea kwenye ulimwengu wa kiroho sema sio binadamu wote hufunuliwa na kuona yanayoendelea.
Mimi binafsi midoli kinyago au t-shirt yenye sura ya mtu, sivai!Huwa tunafuga majini, vinyamkera, madogoli na roho chafu majumbani kwetu bila kujua. Tunanunua vinyago na midoli ya gharama kwa ajili ya kupendezesha sebule zetu na wakati mwingine kama kampani vitandani mwetu...