Vinyago/midoli vina roho

Nguo unazovaa za mtumba zisiwe na nguvu za giza ila midori ndio iwe na hizo nguvu? Tafuta hela wewe achana na mawazo ya kimaskini.
 
Sio hiyo tu.

Nguo, viatu na mikanda vinakuja na mikosi ya watu.

Its better mtu ukanunua mpya.
 
Sasa si uelezee inakuaje!! We unawaambia watu midori ina mapepo lakini hauelezei nini umeona na imekuthibitishiaje kua midori ina nguvu za giza ili pia tuamini hilo
 
Sio hiyo tu.

Nguo, viatu na mikanda vinakuja na mikosi ya watu.

Its better mtu ukanunua mpya.
Binamu Yamamoto..nasisi tunaovaa mawigi Yale human hair inakuaje?
 
Sio hiyo tu.

Nguo, viatu na mikanda vinakuja na mikosi ya watu.

Its better mtu ukanunua mpya.
Fanyeni kazi acheni.visingizio. Mitumba Ipo na itaendelea kuwepo ili Yule asiyeweza kipya apate cha kumsitiri. Maisha ni mizania inayobalance kwa kila mtu.
 
Binamu Yamamoto..nasisi tunaovaa mawigi Yale human hair inakuaje?
Tena hayo yamejaa mapepo hatari.

Bakia tu na nywele zako.

Wanawake mbona mnapendeza sana tu mkibakia natural??

Piga low cut.

Paka mafuta yako na 💄 kidogo.

Vaa nadhifu kuwa na heshima. Inatosha.

Mwanamke mwenye heshima yupo sexy zaidi kuliko mwingine yeyote anayevaa wigi la milioni 5.
 
Ukiamini mungu utaishi misha magumu sana hapa duniani, yaliyojaa hofu na utumwa mkubwa
 
Mtu mjinga ambaye maisha yake yote uametawaliwa na iman za kishirikina kitu kwake kitakuwa ivyo stupid
 
Wayahudi ndio wanaongoza kwa uchawi duniani na elimu nyingi sana za uchawi zimeanzia kwao kutokea middle east[emoji818][emoji1752]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…