Vioja vya watoto wadogo (0-5years), tuambie vioja vya mwanao

Hili toto langu la kiume la mwaka mmoja halipend niwe karib sana na mama yake, hata tukikumbatiana tu mbele yake linaanza kulia, kituko chake kikubwa mkianza kugegedana ni lazima lishtuke na linaanza kunitoa nisiwe juu ya mama yake
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Ha ha haa Bado ndio nafanya mpango aisee. Halafu uache kunipa wivu hapa unaskia !!!
 
Hili toto langu la kiume la mwaka mmoja halipend niwe karib sana na mama yake, hata tukikumbatiana tu mbele yake linaanza kulia, kituko chake kikubwa mkianza kugegedana ni lazima lishtuke na linaanza kunitoa nisiwe juu ya mama yake
Haha haaaa Hakika Vitaumbwa Vipya na Nchi zitajeuka.
 
Last born wangu ana 2 years ukiimba 255 champion boy muite Mbwana Samata lazima amalize Aaha (kwa sauti ya darasa) au ukisema fire anamalizia Aahaa kama Ney
 
Mimi na pacha wangu tunapendana sana huwa tunasalimiana Mara kwa Mara. Sasa mie husema haloo Twin... Mwanangu huwa ananiletea simu ananilazimisha sasa anasema mama mpijie tini.... I love him so much
 
Kwahiyo unataka kusema wewe ni wa kiume?

Unajua huu uzi umeka kike ndio maana nikajua hata wewe ni bint.

Samahani sana mkuu kwa kukukosea.

Ila siku nyingine usiwe unapaniki hapa JF tupo watu tofauti wenye mawazo tofauti.
Mkuu simu yangu, bando langu huwezi kunipangia cha kupost.
Mada ya kike, iwe ya kiume bado wewe huwezi kuthibitisha mimi ni nani kama unajua mimi ni mwanamke sio tatizo kwa kua mke wangu anajua mimi ni mwanaume.
Punguza stress sio kila jambo linahitaji ligi mkuu.
 
mtoto wa sister angu 4yrs anapenda safari balaa, mtu akitoka anamfua anazunguka nae, siku nilifanya kusudi nikamzungusha kutwa (kwa miguu) alikuja kulala fofofo

kesho nikawa na safari na mama yake anasafari pia akaninawa kwamba anko sifai bora mama yake.

kila saa 3 usiku lazima awakumbushe kuangalia bbc landani, na alhamisi futuhi
 
Pole sana.

Usiwe unapandisha kisukari humu JF.

Haka kathread nimekapenda ila nna mtot wa kiume 7 month balaa tupu hana meno ila kanasimamia hata kutambaa hakajapitia yan juice zote tam kanazjua chips ndo balaaa asione stik mdomon,ila akilala saa kumi alfajir yuko macho anajisemesha na malaika wake maana sjui hata akisemacho
Kuvalishwa hataki anavuta nguo balaa ili avae,imagine akiota meno o akijua kuongea o akifikisha one otwo years itakueje
Note_makuzi ya mtoto ni rehema na baraka za mungu.
 
Jamaniii she loves you mpaka anatamani umuoe (anajua mtaishi milele) mpende sana mwanao
 
Pole sana.

Usiwe unapandisha kisukari humu JF.
Acha kiherehere narudia kukwambia.
Unasema mada ya kike it means watu wote wanaochangia hii mada ni wanawake huoni unatutukana? Alafu unataka ujibiwe vizuri ili iweje?
Acha kiherehere kama mada haikufai nenda jukwaa lingine mbona simple tu
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Hili toto langu la kiume la mwaka mmoja halipend niwe karib sana na mama yake, hata tukikumbatiana tu mbele yake linaanza kulia, kituko chake kikubwa mkianza kugegedana ni lazima lishtuke na linaanza kunitoa nisiwe juu ya mama yake
wanaume wana wivu sana,, naanza kugundua watoto wakiume wanawivu sana natural,,, hope una enjoy kulea mkuu!! Huoni kero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…