Qurie
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 3,644
- 3,880
Basy nisubiri na mimi nijipangemm nmejipanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basy nisubiri na mimi nijipangemm nmejipanga
Na mrembo pia kama mama yakeata nikizaa na ww haina shida ata kuwa kama Genius
Kweli kabisa, mtoto umleavyo....Watoto wanafundishika. Ukimkanya kitu kwa karipio, hatathubutu kukirudia. Tabia ya kulea watoto kama mayai ndiyo inayo waharibu.
Mi hadi nilipaka rangi na ubao nikawanunulia lkn bado wanauchora tuuHahaa. Kumbe ni karibia watoto wote tabia hiyo ya kuchora chora wanayo. Daah
Aisee nirshaga ombewa wakasema mtto utakayezaa atafanana na mama yake uchofu kuhsu hloNa mrembo pia kama mama yake
Ahhh hapo sawa kabadili maongezi lkn mnaonekana marafiki sana na mtoto wakoAnajua basi maana ya kuoa au ni hizi TV zinawaharbu watoto.
Nashukuru sasa anashinda shule........ Mazungumzo yake yamehamia ktk maswala ya shule.
Wow that lovely ,,,Naenjoy sana, sipati picha huko mtaani lione wababa wanamuongelesha mama yake.... Litakua linanuna sana hili toto langu
Nadhani kilicho bora ni kusubiri wakue. Mana hata nami nilikuwa na mpango wa kupaka rangi hivi karibuni. Kumbe itakuwa kazi bure.Mi hadi nilipaka rangi na ubao nikawanunulia lkn bado wanauchora tuu
gender issue!Wangu 1.5 yrs anapenda kuandika andika kuna sehem yake ukutan ndo hapo hapo kila siku.kinachonishangaza zaid hatakag na hapend tushikiane simu mm na mama yake, nikishika ya mama yake anaichukua na kuitupa ila mama yake akiishika yangu anamnyan'ganya na kuniletea
huna vigezo?Sina wa kuzaa nae
Ahhh hapo sawa kabadili maongezi lkn mnaonekana marafiki sana na mtoto wako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wangu ana 2.11 yrs ukijifanya umekazima gafla anapanda kifuan kwako huku Amalia anakushindilia makonde ya USO mpka utaamka
Akiona mama yake kaleta kitu anaulizia km baba yake kakinunua ikiwa sivyo kazuma baba nionyeshwe
Na ukimpiga wakat huwa unampa zawad hilo kosa si lako.. Anasingiziwa mwingine
[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimkatalia kitu Baraka na kumwambia "no yo can't have it" yeye anageuka naa kuniambia "when Jesus says yes nobody can say no" Ikabidi nimpe!
DaaaaWangu sijui angekuaje, ametangulia mbele ya haki, katakua mbinguni kanacheza huko...
Mpeleke SUA kabisa akagonge BVM tunaweza kuwa na mtu wa peke yake nchini.Hahaaa. I could talk about my kids the whole day.
Yule mkubwa wa almost 5 years ni mpole na ana hurumaaa. Pia anapenda sana ufugaji na ameshajua kuchanganya vyakula vya kuku. Anawajua kuku wake wakiumwa, anajua kuandika numbers kwenye kila yai linalotagwa na kuliondoa bandani. Pia anajua kufatilia aina ya kinyesi cha kuku kama ni cha kawaida ama ni cha kuumwa.
Mdogo wake anaekaribia miaka 3 ni mtundu na mbabe. Yeye anapenda magari na ufundi. Yaani umuoneshe video ya magari kwenye simu imekula kwako huna jinsi ya kujitoa atakavyotupa tantrums.
Wengi hupenda kusema nampendelea yule mkubwa lakini sio kweli. Ni rahisi kumuonea kutokana na sura yake ya kipole na huruma aliyonayo so nikisikiaga nywiiii amelia basi nageukaga chui. Because the lil man can surely take care of himself.