jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Nichukue fursa hii adhimu nikiungana na watanzania kwa mamilioni waliofurahishwa na uteuzi wa Jembe na kiboko ya wahuni ndg.Paul Makonda.
Hakuna atakayebisha kuwa Makonda ameonesha integrity ya hali ya juu kwani toka apumzishwe sikuwahi kumsikia akiropoka kwenye media yoyote wala kujibu matusi na umbea wa mitandaoni.
Hatimaye Jembe Makonda limerudi kuchangamsha nchi.
Hongera Sana Kiongozi na kazi iendelee