Kama ilivyokuwa kwa Waziri Mkuu, hata Makonda hatakuwa na jipya katika utawala huu. Kung'aa kwake kulitokana na imani kubwa aliyokuwa nayo JPM juu yake.
Katika utawala huu atakutana na kundi la Msoga, na atafanya kazi sambamba na Kinana. Siasa zake za kiharamia hazitakuwa na nafasi tena. Sana sana atakuwa tu kama mbwa mbwekaji afugwaye sehemu za Uswazi, atatumika kujibu hoja za CDM juu juu kwa akili ndogo na vitisho.