Viongozi hawa wamesema Hayati Magufuli aliongoza nchi vibaya sana, wewe je?

Mtu mwovu sana au mzuri sana, hakosi kuzungumziwa. Ni decades ngapi zimepita tangu Hitler afariki, lakini bado anazungumziwa?
 
Magufuli ameacha legacy ambayo haitafutika. His leadership caused suffering and pain to the nation. He was good for nothing.
Kuwa na mwazo tofauti ni haki kabisa kikatiba. Tatizo ni pale baadhi ya watu wanapolazimisha mawazo yao yawe sawa na wengine mpaka kufikia hatua ya kutumia lugha zisizofaa. Unawezaje kumwita kiongozi tena wa juu kabisa ktk nchi kuwa ni "mwendawazimu"
 
Magufuli aliongoza nchi vizuri sana kasoro ila huwezi kuwa na mazuri yote maana uongozi ni kuondoleana haya,tusimuonee haya mtu na Magufuli hili aliliweza sana,alikupa ukweli na wakati mwengine muda wa kujirekebisha. hana haya tunayoyaona sasa ...tutangalia njia...nakutuma ufuatilie....kazi inaendelea...nakusalimu kwa jini la Tanzania ,magu hayo mapambo na vikolomwezo hakuwa na wakati navyo.

Ukoefu mkubwa aliokuwa nao ni ufuatiliaji wa haki zinapokiukwa na yeye kila ukimdanganya ndio anaona unamwambia ukweri,kwa sababu kuna watu aliwaamini sana na ndio wakimdanganya.
 
Hakuna tawala nzuri wala mbaya... Kila tawala inapitia changamoto zake...

Hata tuongozwe na malaika bado binadamu tutamlalamikia huyo malaika...
 
Ukiona Kassim Majaliwa amevaa barakoa ujue naye anaongea yake kimyakimya...

Yule mama wa afya kavigeuka vitunguu na malimao, hivi sasa anatuambia tuvae barakoa...

Mwigulu Nchemba anazirudisha Bureau de Change...

Ndugai anasema Bandari ya Bagamoyo ijengwe...

Wengi hawasemi moja kwa moja ila utajua tu kuwa wako kinyume kabisa na mwendakuzimu
 
Uchumi wa wauza madawa ya kulevya ya club billicanas uliharibika vibaya na sasa wanajaribu kuufufua kwa kuwatoa punda wao magerezani.

Lakini uchumi wa Tanzania kwa mjibu wa rekodi za world bank uliingia uchumi wa kati chini JPM
 
Bora mafisadi warudi, mfumuko wa bei uongezeke lakini tuwe na amani mioyoni. Acha tuendelee kumshukuru Mungu kwa kutufanyia wepesi....

Sijui kwanini alichelewa....
 
Uchumi wa wauza madawa ya kulevya ya club billicanas uliharibika vibaya na sasa wanajaribu kuufufua kwa kuwatoa punda wao magerezani.

Lakini uchumi wa Tanzania kwa mjibu wa rekodi za world bank uliingia uchumi wa kati chini JPM
Uchumi wa kati my foot.

Sisi tunamshukuru Mungu kwa matendo yake makuu...

Twende na mama...
 
Hakuna tawala nzuri wala mbaya... Kila tawala inapitia changamoto zake...

Hata tuongozwe na malaika bado binadamu tutamlalamikia huyo malaika...
Uko sahihi...

Ila hakuna utawala wa kidhalimu uliowahi kutokea Tanzania kama wa mwendakuzimu

Ndio maana tunaendelea kumshukuru Mungu kwa matendo yake makuu yaliyotukuka...

Atakayepingana na Mungu, shauri zake
 
Hata Kangi Lugola naye katoka mafichoni na kusema kuwa zile shutuma za kutumia pesa kununua drones walizosjutumiwa kwazo mkubwa alidanganywa kwa sanabu huwezi kuzima moto kwenye jengo la ghorofa 20 kwa mitambo hii ya kawaida ya Zimamoto, bali zinahitajika drones
 
Kuwa na mwazo tofauti ni haki kabisa kikatiba. Tatizo ni pale baadhi ya watu wanapolazimisha mawazo yao yawe sawa na wengine mpaka kufikia hatua ya kutumia lugha zisizofaa. Unawezaje kumwita kiongozi tena wa juu kabisa ktk nchi kuwa ni "mwendawazimu"
Ndio uhuru wenyewe. kila mtu atoe hisia zake alivomuona. Maana hata wewe hujakatazwa kumuita shujaa au malaika mkuu.
 
Uchumi wa wauza madawa ya kulevya ya club billicanas uliharibika vibaya na sasa wanajaribu kuufufua kwa kuwatoa punda wao magerezani.

Lakini uchumi wa Tanzania kwa mjibu wa rekodi za world bank uliingia uchumi wa kati chini JPM
Hakuna unachokijua. Wewe unaongea kwa ushabiki.

Ukuuaji wa uchumi ulianguka toka 7.5% mpaka 4.5%. Uchumi ulikuwa unakua lakini kwa rate ndogo sana ukilinganisha na watangukizi wake. Mkapa aliipandisha per capita income kwa $400, Kikwete alipandisha kwa $380 lakini marehemu kwa miaka 5 alipandisha kwa $80 tu. Ni sawa na mtu akusafirishe toka Kigoma mpaka Singida, na mwingine akusafirishe toka Singida mpaka Kibaha, halafu mwingine akatoe Kibaha mpaka Dar, na wewe ukabakia kumsifia aliyekutoa Kibaha kukufikisha Dar (Magufuli) ukamsahau aliyekutoa Kigoma mpaka Singida (Mkapa), na Kutoka Singida mpaka Kibaha (Kikwete).
 
hizo data umetoa wapi??
 
As nation tuliingia cha kike😂😂😂😂
 
Hao wote uliowataja akiondoka ngao yao itabidi wanene vyema kwa ufasaha.

Hao ndio walikuwa nyoka ndani ya nyumba na hata sasa ni nyoka ndani kioski
 
mwenye macho hambiwi tizama.
 
Kumbe world bank walikuwa wanajipendekeza kwa JPM kwa kusema tumeingia uchumi wa kati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…