Wakati huu wapo hai, wanaongea hamuwasikilizi, wanashauri mmeziba masikio, wanapendekeza lakini mmeshupaza shingo!
Mtapata faida gani kutokusikiliza hitaji LA watu!
Viongozi wakuu mnachokifanya ni kama dereva na tairi!
Sisi wananchi ni matairi hivyo tunapitia msoto mkali sana kuwabeba nyinyi mlioko ndani ya AC!
Hamuwezi kujua joto la barabara!
Hapa duniani binadamu anapita tu, Mnaona fahari gani kuacha makovu mioyoni mwa watu wakati mmepewa mamlaka ya kuwasaidia?
Msisubiri hadi wazee waondoke ndipo muone busara zao wangali hawapo!
Jifunzeni kutumia busara za wazee wakiwa hai!
Kuliko unafiki misibani hautakuja kuwasaidia!!
"Kilio cha warioba nikuona katiba mpya inayotibu kiu ya wanainchi ili kila mtu afurahie keki ya taifa*"