Viongozi jifunzeni kutendea kazi hekima za wazee wakiwa bado hai, Ni aibu na unafiki kusubiri kumpongeza Mzee Warioba msibani

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Wakati huu wapo hai, wanaongea hamuwasikilizi, wanashauri mmeziba masikio, wanapendekeza lakini mmeshupaza shingo!

Mtapata faida gani kutokusikiliza hitaji LA watu!

Viongozi wakuu mnachokifanya ni kama dereva na tairi!

Sisi wananchi ni matairi hivyo tunapitia msoto mkali sana kuwabeba nyinyi mlioko ndani ya AC!
Hamuwezi kujua joto la barabara!

Hapa duniani binadamu anapita tu, Mnaona fahari gani kuacha makovu mioyoni mwa watu wakati mmepewa mamlaka ya kuwasaidia?

Msisubiri hadi wazee waondoke ndipo muone busara zao wangali hawapo!
Jifunzeni kutumia busara za wazee wakiwa hai!

Kuliko unafiki misibani hautakuja kuwasaidia!!

"Kilio cha warioba nikuona katiba mpya inayotibu kiu ya wanainchi ili kila mtu afurahie keki ya taifa*"
 
Mtaka kasema tumsikilize yeye tusimsikilize NDALICHAKO yeye anasomesha ulaya lakn anatupangia watoto wetu wasome anavyotaka yyeye

Aaah sorry kumbe nimetoka nje ya mada
 
Hii thread Ni chungu kidogo Kama konyagi ila ndo hivo viongozi wetu wametuzoeza kutuambia uongo na wanataka tuukubali.mfano Magufuli alisema kbs eti hakuna corona aisee hata kama ndo kuwatoa watu hofu ila sio kihivo jamani..
 
Kuna wazee wanabusara sana lakini hawasikilizwi
 
Wariobaaaa ni mwanamapinduzi anaye ungurumaaaa Tanzaniaaaaaa.nakumbuka 1993.tukiimba shule ya msingi.
 
Wakati huu wapo hai, wanaongea hamuwasikilizi, wanashauri mmeziba masikio, wanapendekeza lakini mmeshupaza shingo!

Mtapata faida gani kutokusikiliza hitaji LA watu!

Viongozi wakuu mnachokifanya ni kama dereva na tairi!

Sisi wananchi ni matairi hivyo tunapitia msoto mkali sana kuwabeba nyinyi mlioko ndani ya AC!
Hamuwezi kujua joto la barabara!

Hapa duniani binadamu anapita tu, Mnaona fahari gani kuacha makovu mioyoni mwa watu wakati mmepewa mamlaka ya kuwasaidia?

Msisubiri hadi wazee waondoke ndipo
Mkuu, andiko hili ni eneo zuri kabisa la kukupatia kitita cha milioni 5 zilizotangazwa hapa leo!.

Kwa nini usichukue muda kulifanyia kazi.

Watu kama Mzee Warioba, hawa ndio wazalendo hasa wa nchi hii. Hawaangalii na kuweka maslahi yao binafsi mbele, bali wanajali maslahi ya waTanzania.
Tumesikia sisi wenyewe hapa viongozi wastaafu wakihimiza mwenzao aliyepo madarakani aongezewe muda, hawasemi kwa nini aongezewe muda!
Unafiki umekuwa mwingi mno, na ulianzia ndani ya chama cha CCM, sasa umeenea kila sehemu, hadi kwenye vyama vya upinzani.

Kiongozi anafanya makosa, hakuna wa kumwambia anakosea, hata huko huko wakiwa mafichoni ili wananchi wasione kuna mfarakano kati yao. Wote wanabaki kuimba tu sifa za kumsifu anayewapatia chakula kwa kuwateuwa kwenye nafasi wanazoshikilia.

Huu siyo uongozi.

Tunawahitaji akina Warioba wengi sasa ili tulirudishe taifa letu kuwa la watu wenye kufikiri, na siyo kuwa kama maroboti tu.
 
pointi
 
Swadaktaa. wanasubiri kusema alikuwa mwadilifu na mchapakazi😅😅
 
Hii thread Ni chungu kidogo Kama konyagi ila ndo hivo viongozi wetu wametuzoeza kutuambia uongo na wanataka tuukubali.mfano Magufuli alisema kbs eti hakuna corona aisee hata kama ndo kuwatoa watu hofu ila sio kihivo jamani..
Ni wewe NdgegeJohn?
 
Ulishaambiwa shimo la panya halifunikwi kwa kipande cha mkate, wakaenda mbali zaidi kwamba usiongee ukiwa na chakula mdomoni.
 
Hii thread Ni chungu kidogo Kama konyagi ila ndo hivo viongozi wetu wametuzoeza kutuambia uongo na wanataka tuukubali.mfano Magufuli alisema kbs eti hakuna corona aisee hata kama ndo kuwatoa watu hofu ila sio kihivo jamani..
Kuna watu wanafanya siasa kama ushabiki wa Mpira!

Mpira ni burudani lakini siasa ni maisha ya watu, hupaswi kushangilia jambo linalohusu maumivu ya watu na maisha yao, unaweza ukawa uko madarakani Leo lakini kizazi chako kipo, ndugu zako wapo wataendelea kuumia!
.
 
Katiba haidaiwi na chama/cdm au mtu/warioba mzee na siyo swala la kisiasa bali la kijamii.

Kama jamii yenyewe haioni ukuhimu wa katiba mnajisumbua tu.

Uhitaji wa katiba ukifika kijamii wala hauhitaji nguvu nyingi kama unazotumia bali utaona watu wakihamasika wenyewe.

Swala la katiba mpya ni kitu mtambuka lakini pia sababu za kudai katiba ni swala mtambuka.

Kama katiba iliyopo imewashinda kuiheshimu hata mpewe msahafu au biblia bado haifai kitu.

Huto walioba na wenzie ni unafiki tu kwani siku zote wamekuwa wakoapa kupitia katiba hiyohiyo mbovu na hata cdm nai wanaapa kupitia katiba hiyohiyo kwaniji hawakuigomea hadi ibadilishwe ndiyo waape?

Sababu za kudai katiba kubwa kwa cdm na warioba ni NJAA ambayo jamii haioni umuhimu wake kabisaaaa na ndiyo maana imeekaa kimya tu.

Bunge ndiyo la kusimamia mchakato wa katiba mpya siyo cdm wala walioba kama wabunge hawalo tayari ni kazi bure
 
Ndugu yangu, uandishi wenyewe ndo huo kizungumkuti...sasa mambo ya katiba kweli utayaelewa aiseee?? Kazi iendelee.
 
Nahisi hata CDM pia ni sehemu ya jamii hivyo ni jamii pia. Wana haki ya kuidai hiyo katiba mpya.
 
Tujifunze kuwaombea watu wema na wenye nia njema kwa vizazi vya watu maskini :-

Tumuombee Mzee warioba Mungu ampe maisha marefu ashuhudie kazi yake aliyoifanya kwa uaminifu mkubwa na kwa kupigwa vita sana na makundi ya walevi wa madaraka.

Tumuombee msema kweli Antony Mtaka ,RC wa Dodoma.

Tumuombee msema kweli Antony Dialo.

Tumuombee msema kweli Dr. Bagonza askofu.

Tumuombee , Dr. Shoo

Tumuombee ,Freeman Mbowe.

Tumuombee, Jakaya Kikwete.

Tumuombee Husein Mwinyi rais wa SMZ.

Tumombe Mama Samia S.H Rais wetu.

Tumuombee katibu mkuu wa CCM.
Tumuombee Tundu Lisu.

Tumuombee J.Mbatia.

Tumuombe Mungu katiba mpya ipatikane ikiwa imebeba mustakabali mwema na ustawi wa Taifa letu sio vyama vya siasa na watawala.

Watawala wameshiba kwao katiba sio ishu ya msingi. La msingi kwao ni kuwatawala watu kirahisi kulitia dola na mgongo wa chama kisha wawarithishe watoto wao mali na madaraka.

Mungu ibariki Afrika
 
Katiba haidaiwi na chama/cdm au mtu/warioba mzee na siyo swala la kisiasa bali la kijamii.

Kama jamii yenyewe haioni ukuhimu wa katiba mnajisumbua tu.

Uhitaji wa katiba ukifika kijamii wala hauhitaji nguvu nyingi kama unazotumia bali utaona watu wakihamasika wenyewe.

Swala la katiba mpya ni kitu mtambuka lakini pia sababu za kudai katiba ni swala mtambuka.

Kama katiba iliyopo imewashinda kuiheshimu hata mpewe msahafu au biblia bado haifai kitu.

Huto walioba na wenzie ni unafiki tu kwani siku zote wamekuwa wakoapa kupitia katiba hiyohiyo mbovu na hata cdm nai wanaapa kupitia katiba hiyohiyo kwaniji hawakuigomea hadi ibadilishwe ndiyo waape?

Sababu za kudai katiba kubwa kwa cdm na warioba ni NJAA ambayo jamii haioni umuhimu wake kabisaaaa na ndiyo maana imeekaa kimya tu.

Bunge ndiyo la kusimamia mchakato wa katiba mpya siyo cdm wala walioba kama wabunge hawalo tayari ni kazi bure

Mkuu unaongelea bunge la inchi gani?
 
Jamii ni watu, warioba kazunguka kukusanya maoni kutoka katika jamii na hayo ndiyo matakwa ya wanajamii
Nguvu kubwa inayotumika siyo kudai Bali ni kupinga
 
Back
Top Bottom