Viongozi kumi (10) Bora Tanzania

SAwa KAbisa hujakosea. Jamani Mzalendo gani awaandikie vitabu hawa viongozi wetu?
 
Ondoa haraka sana #3!
 
♥️♥️♥️♥️♥️
Atakayebisha ana akili za Tundu
 
Hata mimi naongoza vizuri sn familia yangu
 
Kichwa cha habari kinasema Tatu bora ila wewe umeweka zaidi ya Watatu kwenye bandiko..

Hujapishana uongo sana na mmoja wapo alichowafanyia watanzania miaka yake kutawala..
View attachment 1752051
Naomba tafsiri ya hii picha p'se!
 
Watu walioishi vipindi vyote vya utawala kama ss nawashangaa sana kutothamini juhudi za mzee Mwinyi .
 
Tafsiri yake ni kuwa kuna kiongozi alivuruga ustawi wa taifa kwa kiasi kikubwa njia pekee aliyoitumia ni mamlaka makubwa aliyopewa na katiba bila kuanishwa mipaka kufanya lolote analotaka kubakia madarakani pengine na kuondoa ukomo wa madaraka..

Uliwahi kuona duniani watu wanapiga kura za vibunda!?

Basi ndio tafsiri ya picha kwamba ilikua lazima ushindi upatikanen hata kwa njia haramu...
Naomba tafsiri ya hii picha p'se!
 
Asante mkuu.
 
Wakristo bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…