Viongozi kupiga picha na makarani baada ya kuhesabiwa, je sio kupoteza muda Au walikuwa spesho kwa ajili yao tu?

Mbona wananchi nao wamehesabiwa baadhi

Mapumziko yalikuwa ya nini sasa ndugu kama kuhesabu kwenyewe ndio kwa mwendo huu wa kinyonga? Makarani wako sehemu moja ya kiongozi kusaka kiki badala ya kutembelea makazi kufanya kazi stahiki!
 
Hapo ni shida.
Ila bora tumepumzika angalau
 
Hii Nchi kila kitu show off
20220823_190858.jpg
 
Back
Top Bottom