Viongozi kutishia wananchi hadharani hii imekaeje wakuu?

Viongozi kutishia wananchi hadharani hii imekaeje wakuu?

Joined
Sep 10, 2023
Posts
32
Reaction score
81
Katiba inasema hivi au chalamila ana katiba yake mwenyewe inayomuongoza na ni kwanini viongozi wanaongea hivi na hakuna hatua zinazochukuliwa?

"8.-(1) Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nchi inayofuata misingi ya demokrasia na haki ya kijamii, na kwa hiyo -

(a) wananchi ndio msingi wa mamlaka yote, na Serikali itapata madaraka na mamlaka yake yote kutoka kwa wananchi kwa mujibu wa Katiba hii;

(b) lengo kuu la serikali litakuwa ni ustawi wa wananchi;

(c) Serikali itawajibika kwa wananchi;

(d) wananchi watashiriki katika shughuli za Serikali yao

" kwamba aina zote za dhuluma, vitisho, ubaguzi, rushwa, uonevu au upendeleo zinaondolewa nchini"
 
Nchi hii ina mambo ya Ajabu sana.

NGOJA TU NIFUNGE BAKULI LANGU.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Back
Top Bottom