TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Washapigwa Pini hawafurukutiKenya na Rwanda kuna saa wanajiona washakuwa wazungu...
Hizi nchi mbili na wananchi wao wamekuwa na dharau sana miaka ya hivi karibuni.. Ndo wanasababisha EAC inakuwa na mambo ya ajabu ajabu.
India,Australia, Newsland,Malaysia , indonesia hawatakosa.Punguza wivu ndugu
Mume alishazikwa St George ChapelWatakao mzika Malkia au watakao mzika Malkia na mume wake?
Si walisema mume wake alihifadhiwa kusubiri wazikwe pamoja!
Hii imekaaje?
Umeonaaa? Ni marais wa Afrika tu ndiyo wenye majina yanayotanguliwa na Dr, Prof.....kana kwamba hao wengine hawana shahada hizo! Tena yule wa Kenya haikutosha mpaka wakaweka (PhD)- ingawaje huyo katika mambo ya Kimataifa ni zero, hajui hata Sahrawi iko wapi na msimamo wa nchi yake na nchi hiyo! Huu ni ushamba. Hakuna Phd ya urais, kwa nini kuiweka?1. Joe Biden - Rais wa Marekani,
2. Emmanuel Macron - Rais wa Ufaransa,
3. Dr William Ruto (PhD) - Rais wa Kenya,
4. Paul Kagame - Rais wa Rwanda,
5. Olaf Scholf - Chansela wa Ujerumani,
6. Paul Biya - Rais wa Cameroon,
7. Patrice Talon - Rais wa Benin,
8. Mohamed Bazoum - Rais wa Niger,
9. Muhammadu Buhari - Rais wa Nigeria,
10. Lazarus Chakwera - Rais wa Malawi,
11. Fillipe Nyusi - Rais wa Msumbiji,
12. Haidhma bin Tariq - Sultan wa Oman,
13. Prof. Azali Assoumabi - Rais Comoos
14. Dr. Mokgweetsi Masisi - Rai's wa Botswana,
15. Salman bin Abdul Aziz Al Saud - Mfalme wa Saudi Arabia,
16. Hamad bin ISA Al Khalifa - Mfalme wa Bahrain,
17. Ramin bin Hamad Al Thank - Mtawala wa Qatar,
18. Ukhnaagiin Khurelsukh - Rais wa Mongolia,
19. Shavkat Mirziyoyev - Rais wa Uzbekistan,
20. Emomali Rahmon - Rais wa Tajikistan,
21. Volodymyr Zelensky - Rais wa Ukraine,
22. Milorad Sefik Dzaferovic - Rais wa Bosnia and Herzegovina,
23. Paula-Mae Weekes - Rais wa Trinidad and Tobago,
24. Hakainde Hichilema -Rais wa Zambia,
25. Dr Hage G. Geingob - Rais wa Namibia,
26. Evariste Ndishimiye - Rais wa Burundi,
Rwanda has nothing in eac to impact sema kina kaujinga mmekatengeneza watz against Rwanda.. There are too merelyKenya na Rwanda kuna saa wanajiona washakuwa wazungu...
Hizi nchi mbili na wananchi wao wamekuwa na dharau sana miaka ya hivi karibuni.. Ndo wanasababisha EAC inakuwa na mambo ya ajabu ajabu.
Madhaifu yao ya ukabila,udini na ufisadi naona auyaoni kabisa,unadai sisi tuna chuki nahisi hujawahi kuona chuki ya kikabila ya hao jamaa zako,maana umewapamba kama vile hawana mapungufu yoyote!Mkuu siku zote kumchukia aliyekuzidi, hakukufanyi uwe sawa naye!!!ungekuwa una uhakika na unachokisema ungetaja na hizo nchi, ili kujenga hoja yako.Wao toka miaka hiyo walishajengewa akili ya udadisi, wakati wewe unajengewa akili za uoga na za roho mbaya, ya kumuona aliyekuzidi uwezo ndio adui yako, na ukiwa mdadisi ni hatari!!Nenda vyuo vikuu huko utakuta wakenya wengi ndio wanafundisha kiswahili, nyie leo ndio mnashituka!!!
Kwa Afrika, MIKENYA, NA MI NIGERIA, haikutakiwa kabisa kuwa bara hili la giza.
Yaani kati ya mabara sita ya Dunia yaliyotoa Viongozi Africa pekee imetoa NUSU ya wahudhuriaji;1. Joe Biden - Rais wa Marekani,
2. Emmanuel Macron - Rais wa Ufaransa,
3. Dr William Ruto (PhD) - Rais wa Kenya,
4. Paul Kagame - Rais wa Rwanda,
5. Olaf Scholf - Chansela wa Ujerumani,
6. Paul Biya - Rais wa Cameroon,
7. Patrice Talon - Rais wa Benin,
8. Mohamed Bazoum - Rais wa Niger,
9. Muhammadu Buhari - Rais wa Nigeria,
10. Lazarus Chakwera - Rais wa Malawi,
11. Fillipe Nyusi - Rais wa Msumbiji,
12. Haidhma bin Tariq - Sultan wa Oman,
13. Prof. Azali Assoumabi - Rais Comoos
14. Dr. Mokgweetsi Masisi - Rai's wa Botswana,
15. Salman bin Abdul Aziz Al Saud - Mfalme wa Saudi Arabia,
16. Hamad bin ISA Al Khalifa - Mfalme wa Bahrain,
17. Ramin bin Hamad Al Thank - Mtawala wa Qatar,
18. Ukhnaagiin Khurelsukh - Rais wa Mongolia,
19. Shavkat Mirziyoyev - Rais wa Uzbekistan,
20. Emomali Rahmon - Rais wa Tajikistan,
21. Volodymyr Zelensky - Rais wa Ukraine,
22. Milorad Sefik Dzaferovic - Rais wa Bosnia and Herzegovina,
23. Paula-Mae Weekes - Rais wa Trinidad and Tobago,
24. Hakainde Hichilema -Rais wa Zambia,
25. Dr Hage G. Geingob - Rais wa Namibia,
26. Evariste Ndishimiye - Rais wa Burundi,
Kuna uzi humu umeonyesha Chief Hangaya anashuka kwenye ndege London jana, mbona hayupo orodhani1. Joe Biden - Rais wa Marekani,
2. Emmanuel Macron - Rais wa Ufaransa,
3. Dr William Ruto (PhD) - Rais wa Kenya,
4. Paul Kagame - Rais wa Rwanda,
5. Olaf Scholf - Chansela wa Ujerumani,
6. Paul Biya - Rais wa Cameroon,
7. Patrice Talon - Rais wa Benin,
8. Mohamed Bazoum - Rais wa Niger,
9. Muhammadu Buhari - Rais wa Nigeria,
10. Lazarus Chakwera - Rais wa Malawi,
11. Fillipe Nyusi - Rais wa Msumbiji,
12. Haidhma bin Tariq - Sultan wa Oman,
13. Prof. Azali Assoumabi - Rais Comoos
14. Dr. Mokgweetsi Masisi - Rai's wa Botswana,
15. Salman bin Abdul Aziz Al Saud - Mfalme wa Saudi Arabia,
16. Hamad bin ISA Al Khalifa - Mfalme wa Bahrain,
17. Ramin bin Hamad Al Thank - Mtawala wa Qatar,
18. Ukhnaagiin Khurelsukh - Rais wa Mongolia,
19. Shavkat Mirziyoyev - Rais wa Uzbekistan,
20. Emomali Rahmon - Rais wa Tajikistan,
21. Volodymyr Zelensky - Rais wa Ukraine,
22. Milorad Sefik Dzaferovic - Rais wa Bosnia and Herzegovina,
23. Paula-Mae Weekes - Rais wa Trinidad and Tobago,
24. Hakainde Hichilema -Rais wa Zambia,
25. Dr Hage G. Geingob - Rais wa Namibia,
26. Evariste Ndishimiye - Rais wa Burundi,
Anaongoza nchi kwa remote controlHuyo Paul Biya bado anaishi Paris tu hadi leo?
Fake1. Joe Biden - Rais wa Marekani,
2. Emmanuel Macron - Rais wa Ufaransa,
3. Dr William Ruto (PhD) - Rais wa Kenya,
4. Paul Kagame - Rais wa Rwanda,
5. Olaf Scholf - Chansela wa Ujerumani,
6. Paul Biya - Rais wa Cameroon,
7. Patrice Talon - Rais wa Benin,
8. Mohamed Bazoum - Rais wa Niger,
9. Muhammadu Buhari - Rais wa Nigeria,
10. Lazarus Chakwera - Rais wa Malawi,
11. Fillipe Nyusi - Rais wa Msumbiji,
12. Haidhma bin Tariq - Sultan wa Oman,
13. Prof. Azali Assoumabi - Rais Comoos
14. Dr. Mokgweetsi Masisi - Rai's wa Botswana,
15. Salman bin Abdul Aziz Al Saud - Mfalme wa Saudi Arabia,
16. Hamad bin ISA Al Khalifa - Mfalme wa Bahrain,
17. Ramin bin Hamad Al Thank - Mtawala wa Qatar,
18. Ukhnaagiin Khurelsukh - Rais wa Mongolia,
19. Shavkat Mirziyoyev - Rais wa Uzbekistan,
20. Emomali Rahmon - Rais wa Tajikistan,
21. Volodymyr Zelensky - Rais wa Ukraine,
22. Milorad Sefik Dzaferovic - Rais wa Bosnia and Herzegovina,
23. Paula-Mae Weekes - Rais wa Trinidad and Tobago,
24. Hakainde Hichilema -Rais wa Zambia,
25. Dr Hage G. Geingob - Rais wa Namibia,
26. Evariste Ndishimiye - Rais wa Burundi,
Mama kashafika mulisema haendi[emoji28]
Hawezi kukosaDr. Samia Suluhu ... Tanzania
Hajazikwa.Mume alishazikwa St George Chapel
Hapo kwa TZ kufanya sherehe hapana. Ila hata mi nawaza maraisi wote hao kukutana sehemu moja kwa wakati mmoja? inabidi ulinzi uwe wa aina yake, maana akitokea kichaa mmoja hapo, si dunia itasimama!Imagine putin anafanya yake. Maweeee watanzania tutafanya sherehe. No more tozo.