Viongozi mtatuua kwa sonona

"Hao mnaowasifu wawekezaji WANATULIPA 10,000/= per day" ...

Mkuu, wanakulipa wewe na nani?

Mbona unatusemea na sisi?
 
Toeni ukiritimba katika manunuzi ya mbolea na pembejeo muone kama hiyo bei mtauza hivyo.
Ukiritimba upi? Mwaka huu ndio tumepata ruzuku,mvua zipo so mazao yenyewe yatashuka kuanzia machi..

Mwaka Jana mbolea 140,000-160,000 na mvua kiduchu then unataka uuziwe kilo 1800? Kuwa serious basi.
 
Ni wapi huko mnalipwa elfu kumi per day ???
Tafuta kazi inayolipwa 40,000 per day maana serikali haina mpango nawewe hata Samia anashida kama zako sema alitafuta njia akapata njia so acha kulia Lia .

Tafuta njia .....
 
Connection first🤝
Maneno baadae🤗
 
Kisha utasikia machawa yakisifia eti anaupiga mwingi
 
Oyo The Sunk nitumie link, nafanyaje ili nipate connection hiyo ya Serikali. Nipo serious.
 
Wakati huo kiongozi wa wizara ya kazi anakula tu rushwa kutoka kwa wachina 🤣
 
Kwa nini nijifiche Mzee? Unadhani Niko mjini? Kwanza nawachukia nyie watu wa Mjini mlikataa kulipa tozo Ili tujengewe Vituo vya Afya ila mnataka mazao yetu mnunue Kwa bei mnayotaka si ndio?
Pesa za COVID tuliambiwa zimeelekezwa huko 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwa sasa ni msimu wa kilimo, muwe mnatuma hela vijijini kwenu wawasaidie kulima na kuwatumia chakula wakivuna ili mpunguze malalamiko yasiyo ya msingi. Tanzania ardhi kubwa hailimwi kutokana na ubinafsi wenu watu wa mjini.
 
1. Huu ni msimu kilimo cha nini?
2. Usifikiri kila mtu ana ndugu vijijini ondoa iyo mindset.
3. Sio kila mtu anauwezo wa kumudu gharama za kulima pamoja na maisha.

Things are not easy as you think.
 
Unajua kupika kweli wewe ?? Yani marage kilo na Mchelle kilo Sasa hapo mboga Ni ipi maana marage yatakuwa mengi kuliko wali labda uweke marage afu wali ndo Kama mboga unanyunyuzia kwa juu

Afu inamaana utakuwa unakula Kila siku kilo ya marage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…