The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Wewe kiazi jibu,ulitaka wale nini?Wewe mjinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kiazi jibu,ulitaka wale nini?Wewe mjinga
Wengine wanashindana kujilimbikizia mimali iliyopatikana kwa njia isiyo halali !! Utadhani wataishi milele !!😔😔😔😔
Nchi nyingi za kusini mwa jangwa la Sahara matumizi ya nishati ya mkaa na kuni ni makubwa. Kutokana na kuwa ndiyo reliable source of energy for cooking purpose. Hii yote inasababishwa na hali duni ya maisha na vipato kwa wananchi wake. Ni vigumu kumeet standards za matumizi ya gesi ikiwa nishati ya bei rahisi na affordable inapatikana kwa urahisi.
That's it Pal'🙏.
Kwanza hata hawajakusikia.Tabuuuu...!
Na wanaume kukosa nguvu za kufanya kazi na kunaniliu 🤔Jamii haipati milo mitatu iliyo kamili.Tutarajie afya mbovu,udumavu,hasira,sonona,ugomvi wa familia,kukondeana,kuvaa nguo nyembamba na kuziita ni fashions,taharuki,kuchukiana,kununanuna na upotevu wa amani mioyoni mwa wanajamii.
Nawakumbusha tuu kwamba
1.Mvua zinanyesha nendeni shamba la sivyo mtaendelea kulia lia hivyo hivyo
2.Serikali imetangaza Vijana waombe kujiounga kwenye mashamba ya pamoja zaidi ya Vijana mil.1 wanahitajika,wametagutiwa mashamba na Kila kitu watapewa,Sasa endeleeni ku bet.
3.Kama.huna pesa Rudi Kijijini acha kusumbua watu mjini.
Dah!Ombea tusifike huko kwa idadi kubwa.Itakuwa ni patashika ban hekaheka mitaani.Utafika muda tutabondwa makofi na akina mama.Na wanaume kukosa nguvu za kufanya kazi na kunaniliu 🤔
Kabisa hakuna muda iliwahi kuwa hivi yaani hii ni history record high.Hakuna kipindi maisha yaliwahi kuwa magumu kama kipindi hiki
Mzee mvua zimefurika,hayo mabadiliko ya hali ya hewa ni ya mwaka Jana,chakula sio wali na maharage tuu Kuna viazi pia..Huko kijijini utakula nini ndugu Sunk Cost, uzalishaji wa mazao ya kujikimu kwenye vijiji vingi ni hali mbaya ya kutisha kutokana na mabadiliko ya tabia nchi.
Kwenye vijiji ambavyo ilizoeleka kwamba watu hawanunui vyakula, kijiji changu ni mfano, kwani mazao yalitosheleza mwaka mzima hadi kuna mashamba mengine yalikaa na mazao yaliyokomaa zaidi ya misimu mitatu, ila kwa sasa haya maeneo mengi yameathiriwa na mabadiliko ya tabia nchi na kupelekea hali ya ukame na kupungua sana uzalishaji wa mazao ya chakula, hivyo na wenyewe sasa wanalazimika kununua chakula kwenye masoko.
Sasa unapoongelea upatikanaji wa pesa vijijini ni mtihani mkubwa, labda kipindi cha msimu wa kuuza mazao ya biashara au kwenye vijiji vilivyobarikiwa kuwa karibu na masoko au barabara kubwa ambapo wanaweza kutumia fursa za kibiashara kwenye mazao au mifugo kama kuku na mbuzi.
Kwahiyo yule kijana alitupanga?
Sasa unadhani serikali ifanye nini labda?
Hujanielewa, nimekutolea hata mfano hai wa kijiji nilichokulia hatukuwahi kununua vyakula vya kujikimu........lakini zaidi ya miaka 10 iliyopita hali ni tofauti sana, watu hawavuni wala kuwa na akiba ya chakula kama zamani kiasi kwamba inawalazimu nao wanunue vyakula kwenye masoko, sasa pesa ya kununua chakula consistently kijijini itatoka wapi? hapo ndo mtihani ulipo......sasa sababu kuna viongozi na wenye dhamana wamenogewa na kulamba asali, challenges kama hizi hawawezi kuzielewa.Mzee mvua zimefurika,hayo mabadiliko ya hali ya hewa ni ya mwaka Jana,chakula sio wali na maharage tuu Kuna viazi pia..
Mwisho wanakijiji walitunza vyakula vyao na wakauza ziada ndio maana hujaskia mtu kafa na njaa.Swala la pesa Kijijini kuwa mgumu hata mjini ni mgumu Bora mwanakijiji atauza kuku.na mbuzi.
Wafuge kwani ufugaji unlipa na watapata pesa ya kununukia chakulaHujanielewa, nimekutolea hata mfano hai wa kijiji nilichokulia hatukuwahi kununua vyakula vya kujikimu........lakini zaidi ya miaka 10 iliyopita hali ni tofauti sana, watu hawavuni wala kuwa na akiba ya chakula kama zamani kiasi kwamba inawalazimu nao wanunue vyakula kwenye masoko, sasa pesa ya kununua chakula consistently kijijini itatoka wapi? hapo ndo mtihani ulipo......sasa sababu kuna viongozi na wenye dhamana wamenogewa na kulamba asali, challenges kama hizi hawawezi kuzielewa.
Nashabikia Kwa sababu ndio unatulipa sie wakulimaSerikali inawajibu wake! But am on yo' ass why unashabikia mfumuko wa bei? Means umekula sasa na kuvimbiwa!!
Wewe huna akili, kuna mtu alishawahi kuwaambia muingilie kilimo?! Sisi wanainchi tunaelewana wenyewe. Wacha wanaotaka kulima wakalime, wanaotaka kuchuuza wakachuuze wanaotaka kuwa wanunuzi wanunue, wanataka kufanya biashara zingine waendelee kila mtu awe na furaha.Hujajibu swali naona una hasira za njaa,nenda ule then urudi kujibu swali langu..
Unataka nani akukimie Ili wewe ule na kukuza likitambi lako Hilo kama nguruwe?
Acha kujificha kweny kivuli cha mkulima wew!Nashabikia Kwa sababu ndio unatulipa sie wakulima
Ona unavyowapangia watu chakula. Kama watu wanataka kula wali Maharage wewe ni nani wa kuwaambia wale viazi.Mzee mvua zimefurika,hayo mabadiliko ya hali ya hewa ni ya mwaka Jana,chakula sio wali na maharage tuu Kuna viazi pia..
Mwisho wanakijiji walitunza vyakula vyao na wakauza ziada ndio maana hujaskia mtu kafa na njaa.Swala la pesa Kijijini kuwa mgumu hata mjini ni mgumu Bora mwanakijiji atauza kuku.na mbuzi.
Kwa nini nijifiche Mzee? Unadhani Niko mjini? Kwanza nawachukia nyie watu wa Mjini mlikataa kulipa tozo Ili tujengewe Vituo vya Afya ila mnataka mazao yetu mnunue Kwa bei mnayotaka si ndio?Acha kujificha kweny kivuli cha mkulima wew!
Basi na sie wasitake kutupangia bei,nunueni bei ni 3500 Hadi 4,000 mnamlilia nani?Ona unavyowapangia watu chakula. Kama watu wanataka kula wali Maharage wewe ni nani wa kuwaambia wale viazi.
Toeni ukiritimba katika manunuzi ya mbolea na pembejeo muone kama hiyo bei mtauza hivyo.Basi na sie wasitake kutupangia bei,nunueni bei ni 3500 Hadi 4,000 mnamlilia nani?