Bauntu asukile
JF-Expert Member
- Aug 17, 2020
- 324
- 442
Uko wapi nikuagizie maharage debe zima ,, kwa bei ndogo tu....Maharagwe kilo 4000 + mchele 3500 = jumla 7500Tsh
Hao mnaowasifu wawekezaji wanatulipa 10,000/= per day.
[emoji3578]10,000 - 7500 = 2500 [emoji848]
[emoji848]Bado sijanunua mkaa wa kupikia?
[emoji848]Bado viungo?
[emoji848]Bado sijanunua mafuta ya kula?
Nyie mnakula Swala, Pundamilia, Mbuni Tembo......sisi kila siku tunakula maharagwe chukuchuku.
Dar kama segerea tu.
Sijui njoo unifundishe.Unajua kupika kweli wewe ?? Yani marage kilo na Mchelle kilo Sasa hapo mboga Ni ipi maana marage yatakuwa mengi kuliko wali labda uweke marage afu wali ndo Kama mboga unanyunyuzia kwa juu
Afu inamaana utakuwa unakula Kila siku kilo ya marage
Umenena vema, mjini shule brother. Kulia njaa town ni aibu, huku kuna mashamba nyomi ya kujisevia. Kwanini unang'ang'ania town kama life tu la chakula limekugome?1. Huu ni msimu kilimo cha nini?
2. Usifikiri kila mtu ana ndugu vijijini ondoa iyo mindset.
3. Sio kila mtu anauwezo wa kumudu gharama za kulima pamoja na maisha.
Things are not easy as you think.
Mwambie mama yako atakufundishaSijui njoo unifundishe.
Bei ndogo shilingi ngap?Uko wapi nikuagizie maharage debe zima ,, kwa bei ndogo tu....
Maharagwe kilo 4000 + mchele 3500 = jumla 7500Tsh
Hao mnaowasifu wawekezaji wanatulipa 10,000/= per day.
✍️10,000 - 7500 = 2500 🤔
🤔Bado sijanunua mkaa wa kupikia?
🤔Bado viungo?
🤔Bado sijanunua mafuta ya kula?
Nyie mnakula Swala, Pundamilia, Mbuni Tembo......sisi kila siku tunakula maharagwe chukuchuku.
Dar kama segerea tu.
Sasa uliuliza ya nini?Mwambie mama yako atakufundisha
Mwaka Jana ndio walihitaji watu wafuatao nipo serious .40k, per day🤔
Job connection my dear.?
As you know now days, it's not easy to get a job. Because of lower number of employment opportunities.
Cool Pal'Mwaka Jana ndio walihitaji watu wafuatao nipo serious .
1.waalimu wa masomo yote secondary na primary. Wa primary mishahara Yao ni wenye uzoefu laki nane wasio na uozefu laki 5
2.secondary wenye uzoefu 1.5ml
Wasio na uzoefu ni 1ml
Wapishi laki 3 walinzi laki 3nanusu
Wafanya usafi laki 2 naishirini.
Sijui ingine .
Kuna nyingi nyingi ila Sasa sijui mishahara yao.
Kunasiku watu walinichamba hapa kuhusu tell me about you are self niliitwa kama mtahini .
Tuliwapata nasasa wanafanya kazi .
Secondary hiyo ilikuwa mpya.
Watu wanashida halafu wanapondea wenzao basi good day mwaya nikisikia .
Unaishi kwa chenga nini?kula chenga
hapana asee shinda nazo sio za kuendekezaUnaishi kwa chenga nini?
Fact👍hapana asee shinda nazo sio za kuendekeza
Kwanza kwenye maisha neno aibu litoe.Umenena vema, mjini shule brother. Kulia njaa town ni aibu, huku kuna mashamba nyomi ya kujisevia. Kwanini unang'ang'ania town kama life tu la chakula limekugome?
Shika jembe ukalime kwa matumizi ya nyumbani. Acha kulia lia. Huu ni msimu wa wakulima kutajirika.Maharagwe kilo 4000 + mchele 3500 = jumla 7500Tsh
Hao mnaowasifu wawekezaji wanatulipa 10,000/= per day.
✍️10,000 - 7500 = 2500 🤔
🤔Bado sijanunua mkaa wa kupikia?
🤔Bado viungo?
🤔Bado sijanunua mafuta ya kula?
Nyie mnakula Swala, Pundamilia, Mbuni Tembo......sisi kila siku tunakula maharagwe chukuchuku.
Dar kama segerea tu.
Sawa MamaSamia2025.Shika jembe ukalime kwa matumizi ya nyumbani. Acha kulia lia. Huu ni msimu wa wakulima kutajirika.
Marage ndiyo kitu gani mkuu ?Unajua kupika kweli wewe ?? Yani marage kilo na Mchelle kilo Sasa hapo mboga Ni ipi maana marage yatakuwa mengi kuliko wali labda uweke marage afu wali ndo Kama mboga unanyunyuzia kwa juu
Afu inamaana utakuwa unakula Kila siku kilo ya marage