Bauntu asukile
JF-Expert Member
- Aug 17, 2020
- 324
- 442
Uko wapi nikuagizie maharage debe zima ,, kwa bei ndogo tu....Maharagwe kilo 4000 + mchele 3500 = jumla 7500Tsh
Hao mnaowasifu wawekezaji wanatulipa 10,000/= per day.
[emoji3578]10,000 - 7500 = 2500 [emoji848]
[emoji848]Bado sijanunua mkaa wa kupikia?
[emoji848]Bado viungo?
[emoji848]Bado sijanunua mafuta ya kula?
Nyie mnakula Swala, Pundamilia, Mbuni Tembo......sisi kila siku tunakula maharagwe chukuchuku.
Dar kama segerea tu.