Viongozi mtatuua kwa sonona

Chawa
 
Kuna wakati unajifanya ni mtaalam wa uchumi, kumbe hamna kitu. Wanaolalamikia bei ya bidhaa za chakula kupanda juu kupitiliza, siyo vijana wanaoshi tu mjini!

Kuna wafanyakazi ambao wanakusomeshea watoto wako, wanakutibu ukiumwa, nk. Na hawa wananunua chakula kupitia mishahara yao wanayo pokea kila mwezi.

Sasa bidhaa za chakula zinapopanda kiholela, huku kipato chao kinapobakia pale pale, huoni bajeti zao za kila mwezi zinavurugika? Na wenyewe unawashauri waache kazi za kuwahudumia watu, ilo wakalime vijijini?
 
Hapa unaonyesha ni jinsi ulivyovimbiwa kwa shibe! Mkuu badilika acha mahaba na chama!!
Sina mahaba na chama Wala mm sio mwanaccm ila Mimi ni mkulima mwenyewe..

Nilime mwenyewe Kwa nini nisivimbiwe? Wakifunga mipaka naacha kulima kubishana nalima chakula cha familia yangu tuu nione nyie pimbi wa mjini mtakavyofanya.
 
Mfanyabiashara alalamike wakati yeye ndio mnufaika wa kwanza? Pole sana Mkuu.

Hakuna bei iliyopitiliza,ukishindwa maharage au mchele kula ugali,kula viazi acha kukafiri wakati huna hela.
 
Kwa hiyo na vifaa vya ujenzi vikipanda tukafungue viwanda vyetu vya kuzalisha hivyo vifaa au sio?
 
Yani ni balaaa
 
Sasa kwa Nini usiache hiyo kazi ya 10 kwa siku ukaenda kulima nawe ukapiga mihela?
 
Kwa hiyo mfanyakazi ana maisha mabaya kuliko mkulima au? Acha uzwazwa basi.
 
kuna chapta kwenye kitabu cha richi dadi pua dadi uli-skip nakushauri rudi kukisoma tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…