Gepard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2021
- 291
- 385
Kama uzi unavyojieleza.
Huwezi zungumzia soka la Africa kwa sasa bila kuzitaja club za Simba na Yanga. Kama unamjua kiongozi au celebrity yeyote shabiki wa Simba au Yanga mposti hapa.
Itapendeza zaidi akiwa ndani ya uzi wa club husika. Pia, Kama wewe ni shabiki wa Yanga weka like 👍 yako kama ni wa Simba weka emoji ya love😍. Tujue wana Jamii Forums wengi tupo wapi?
Rais wetu mstaafu Mhe. Jakaya Kikwete ni fan wa Yanga. Diamond Platnumz 🦁 mwenyewe ni fan mkubwa wa mnyama