Viongozi na Mastaa wa Bongo ambao ni mashabiki wa Simba na Yanga

Gepard

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2021
Posts
291
Reaction score
385
Kama uzi unavyojieleza.

Huwezi zungumzia soka la Africa kwa sasa bila kuzitaja club za Simba na Yanga. Kama unamjua kiongozi au celebrity yeyote shabiki wa Simba au Yanga mposti hapa.

Itapendeza zaidi akiwa ndani ya uzi wa club husika. Pia, Kama wewe ni shabiki wa Yanga weka like 👍 yako kama ni wa Simba weka emoji ya love😍. Tujue wana Jamii Forums wengi tupo wapi?

Rais wetu mstaafu Mhe. Jakaya Kikwete ni fan wa Yanga. Diamond Platnumz 🦁 mwenyewe ni fan mkubwa wa mnyama



 



 
spika wa bunge letu tukufu Mhe Job Ndugui ni shabiki wa kufa na kupona wa Simba
 
Mhe Mwigulu Mchemba waziri wa fedha na mipango humwambii kitu kuhusu wana Jangwani

 
ni maneno ya mfalme wa bongo fleva na fan namba moja wa Dar Young Africans. Ali Kiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…