Viongozi na Mastaa wa Bongo ambao ni mashabiki wa Simba na Yanga

Yanga haijulikani Afrika.Acheni ujinga.Hata ktk klabu bora mia moja Utopolo haipo.
 
Ficha upumbavu wako ndugu, Yanga ndio klabu kongwe hapa bongo na imeanza kujulikana kitambo sana. Naona unapotezwa na pr ya simba ya kilaza Manara ndio unadhani Simba inajulikana zaidi.
 
Reactions: Qwy

Yanga since 1935, Simba 1936 Kama sijakosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…