Viongozi na Wanachama wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya wakodi basi la abiria ili kumuona Freeman Mbowe gereza la Ukonga

Ni jambo jema sana
 
Punda waseme wananchi hawataki katiba mpya
 
Muulizeni Mbowe kosa lake ni nini anajua fika lakini anajifanya hajui.Jela inamhusu yule
 
Mlinifariji nilipokuwa mfungwa. Hawa watu ni wa Mungu
 
Kama wamefika nalo magereza basi kwishney, namba na jina wamechukua.
 
Mungu ilaani Chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…