Viongozi na Wanachama wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya wakodi basi la abiria ili kumuona Freeman Mbowe gereza la Ukonga

Mungu ibariki CHADEMA na watu wake wote
 
Namuona ticha "T" pichani hapo . Safi sana mkuu, piga kazi bila kukata tamaa kama kawaida yako kusimamia unachokiamini.
 
Basi gani hili ww acha kudemka
 


 
Yule mkaguzi wa wasio malaika,hata wapokea njiani kweli?
 
Wanyakyusa na wakurya ndio misukule waaminifu wa wachagga, kwahiyo sioni jambo la ajabu hapo.
Umefika Kigoma wewe? huku kaskazini kabisa? CHADEMA imetapakaa kote nchini so ajenda ya ukabila na udini imekufa zamani sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…