Kigoma wana support wapinzani wote. Ila kuna watu ambao kwao wachagga wa CDM ndio watu wao, mpinzani mwingine hata awe na agenda kiasi gani hawamjaliUmefika Kigoma wewe? huku kaskazini kabisa? CHADEMA imetapakaa kote nchini so ajenda ya ukabila na udini imekufa zamani sana.
Sijinyongi.Basi jinyonge maana inakuuma.
Tatizo umejaa ukabila na chuki kwa wachagga utadhani sio waTanzania; Ila kaa ukijua CHADEMA ina support kutoka kanda zote. Ukifika serengeti utashangaa porini kabisa ila kuna ofisi za CHADEMA sasa unadhani wamemfuata mchagga yupi? Tukienda kwa ukabila mnaoutaka then Samia hana chake 2025!! So msitufikishe huko.Kigoma wana support wapinzani wote. Ila kuna watu ambao kwao wachagga wa CDM ndio watu wao, mpinzani mwingine hata awe na agenda kiasi gani hawamjali
Serengeti ni wakurya.Tatizo umejaa ukabila na chuki kwa wachagga utadhani sio waTanzania; Ila kaa ukijua CHADEMA ina support kutoka kanda zote. Ukifika serengeti utashangaa porini kabisa ila kuna ofisi za CHADEMA sasa unadhani wamemfuata mchagga yupi? Tukienda kwa ukabila mnaoutaka then Samia hana chake 2025!! So msitufikishe huko.
Sasa nikusaidiaje maana roho inakuumaSijinyongi.
Mara ina makabila zaidi ya 15. So usikariri ni Wakurya tu, CHADEMA ipo kuanzia Rorya mpka Butiama..... Kibara mpaka Nyasho!! So ajenda ya ukabila imekufa zamani sana in fact CHADEMA inakubalika nyanda za juu kusini na magharibi kuliko hata kanda ya kaskazini.Serengeti ni wakurya.
WanajitambuaWanyakyusa na wakurya ndio misukule waaminifu wa wachagga, kwahiyo sioni jambo la ajabu hapo.
Kwani da'Mange anasemaje?Sasa nikusaidiaje maana roho inakuuma
Kwetu ni Mara. I know what i'm talking as.sholeMara ina makabila zaidi ya 15. So usikariri ni Wakurya tu, CHADEMA ipo kuanzia Rorya mpka Butiama..... Kibara mpaka Nyasho!! So ajenda ya ukabila imekufa zamani sana in fact CHADEMA inakubalika nyanda za juu kusini na magharibi kuliko hata kanda ya kaskazini.
Limagonjwa MTAMBUKA Lina wivu KAMA DEMU....πππ€£π€£π€£ππWanaenda kuliona ligaidi.
Acha hasira wewe.L
Limagonjwa MTAMBUKA Lina wivu KAMA DEMU....πππ€£π€£π€£ππ
Huyu mwamba baada nwenda zake kumove zake anaweza akarudi tena kwenye nafasi yake. Ksbb 1. Mbeya hawamkuchagua mama.Sugu kwa organization yupo vizuri
Japo nahisi kuzuiliwa na kuletewa mizengwe huko mbeleLeo Jumamosi 11/9/2021 lundo la viongozi na Wanachama wa Chadema kutoka Mkoani Mbeya wamefika gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam kwa kutumia usafiri wa basi kubwa la abiria (Jina linahifadhiwa kwa sababu za kiusalama) , ili kumjulia hali kiongozi wao wa Kitaifa Mwamba mwenyewe Freeman Mbowe , ambaye anashikiliwa kwa Tuhuma za Ugaidi .
View attachment 1933571
Nachukua nafasi hii kuwashukuru wanachama na viongozi hao kwa wema wao huo , Tunaamini kwamba Mwenyezi Mungu atawarudishia pale palipopungua kutokana na gharama za safari hiyo .
Mungu ibariki Chadema
Powa endelea kuumiaKwani da'Mange anasemaje?
Kila la kheKuna siku CHADEMA itaongoza nchi hii. Karibia wataiva na kupata uchungu sahihi wa nchi yao. Bado kidogo
"Kila mtu anaujua".β¦.we ni mtu mmoja tu, usilazimishe unachojua wewe na kukiamini basi ndio iwe imani ya kila mtu.Sina muda wa fitna. Nilichozungumza ndio ukweli ambao kila mtu anaujua
Hoja ni hii tu..Tangu mfumo wa vyama vingi??Wanyakyusa na wakurya ndio misukule waaminifu wa wachagga, kwahiyo sioni jambo la ajabu hapo.
Mungu ilaani Chadema
[/QUOT
Hamnaga lana ya hivyo, hiyo ikupate wewe na kizazi chako