Viongozi ndiyo wanaokwamisha mchakato wa mabadiliko, FCC yatoa taarifa leo. Mashabiki na wanachama wa Simba mtadanganywa hadi lini?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Fureshiiiiii tu muhimu tusitembeze bakuliiii....alisikika mnazi mmoja wa unyamani
 
Mbona FCC wameeleweka vizuri tu. Wao wanafanya kazi kwa kufuata miongozo na ndio waliyofuata wakati wa kuchambua maombi ya Simba.
 
Umeongea point kubwa sana mkuu, daima mtu msomi anaejua business haezi fanya kitu kwa hasara, hata kama mo dewji anaipenda simba kiasi gani!! Watu wanashindwa kutambua huwezi anza kuezeka nyumba bila kutengeneza msingi imara, . kiufupi simba ilikuwa hovyo sana, anachofanya Mo ni kutengeneza mazingira mazuri ya uendeshaji wa club ili hata akiweka pesa faida ionekane kwake na kwa club pamoja na wanahisa wengine!! Pesa sio nyanya kuwa unaweza mwaga tu bila watu waokote, Plan, plan !! Rangi nyeusi ni tatizo kubwa sana, na hawa ndio watu wa kwanza kumpinga magufuli bila kujua plan yake ipo vipi, yaani watu wanawaza kiufupi bila kufikiria mbali zaidi!!
Kebehi zinazotolewa na waandishi uchwara, wapinzani pamoja na baadhi ya wanasimba sidhani kama kulitakia heri soka letu la Tanzania, !!
Ningeona watanzania tuna busara kama tungekosoa positively na kutengeneza njia nzuri itakayompa dira mwekezaji kutopata woga wa kuwekeza!!
Waandishi wa habari juzi tu tunacheza na Tunisia wamebaki kumwomba Mungu aisaidie Taifa stars ushindi wakati wanajua kabsa tatizo lipo wapi, Mungu anakusaidia vipi kama wewe ni mpumbavu ulobobea!!
Kwanini wawekezaji wasiungwe mkono ili tupate Timu bora ya Taifa na yenye nguvu, !!
Watanzania wengi wanashabikia timu za nje bila kujua misingi ya zile timu, hivi nani katuroga tuwe wapumbavu hivi, shetani gani anasumbua vichwa vyetu?
Duuh kwa akili zetu watanzania tutaendelea kuwa wapumbavu na kichwa cha mwendawazimu hadi basi
 
Ukisikiliza pande zote mbili utagundua kuna kitu nyuma ya pazia,

Japo itakawia ila tutafika
 
Kwani alieomba kununua hisa alikuwa Mo peke yake?Why unauliza maswali ya kimasikini ya kinyonge??

Walio bid kununua hisa walikua wengi ..
Akishindwa yeye wengine wanaingia
Wengi wawapi?
Alikuwa MO peke yake,
 
Sijajua mgawanyo utakuwaje ila naona hapo wadaawa watakua Simba Sports Club(Ya wanachama), Mo Simba Company Limited(Nadhani ndio ya Mo) na Simba Sports Club Holding Company Limited(Ya nani??) Ambao watafanya muungano(Merger) kutengeneza Simba Sports Club Company Limited (Ndio watakua waendeshaji was Timu) hii ndo ya Barbra sasa
Moo dewji ana hisa % ngapi? Kuna sehemu nilisikia wanachama hisa 51, wawekezaji wasiopungua 3 hisa 49, au Moo kachukua 49% peke yake?
Cc mtu chake tusaidiane hapa
 
Kuna mtu kanielezea hiyo Mo Simba company Ltd ina wana hisa watatu ambao ni familia ya Dewji ila Mo ndo ana hisa nying
 
Kuna mtu kanielezea hiyo Mo Simba company Ltd ina wana hisa watatu ambao ni familia ya Dewji ila Mo ndo ana hisa nying
Nataka kujua na hii simba Holding in ya nani??

Dah haya mambo haya. Ila kale kamama kaCEO kalikuja ghafla sana inatia shaka

Ila pia kwa upande wa mfanyabiashara namuelewa No huwez kuweka hela za usajili mishahara bila kuweka mtu unayemuamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…