Kumekuwa na kusigishana baina ya viongozi na wananchi kwa sababu ya tofauti za kimitizamo.
Hii imeshuhudia kwenye maeneo mengi. Tokea mto Mara, Katiba Mpya, wamasai Ngorongoro, dhuluma za polisi, nk.
Tofauti ni jambo la kheri ila ikumbukwe mwananchi ndiye anapaswa kutamalaki.
Viongozi kumbukeni ninyi ni watumishi wetu wala si watawala.
Tunakoelekea kwa mwendo huu na nyomi hizi zonazidi kuchoshwa na janja janja, ghadhabu inazidi kupanda.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Tendeni wema mwende zenu, historia itakuwepo kuwasemea.