Lakini si diwani wa ccm? watajuana wenyeweKumekuwa na kusigishana baina ya viongozi na wananchi kwa sababu ya tofauti za kimitizamo.
Hii imeshuhudia kwenye maeneo mengi. Tokea mto Mara, Katiba Mpya, wamasai Ngorongoro, dhuluma za polisi, nk.
Tofauti ni jambo la kheri ila ikumbukwe mwananchi ndiye anapaswa kutamalaki.
Viongozi kumbukeni ninyi ni watumishi wetu wala si watawala.
View attachment 2164384
Tunakoelekea kwa mwendo huu na nyomi hizi zonazidi kuchoshwa na janja janja, ghadhabu inazidi kupanda.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Tendeni wema mwende zenu, historia itakuwepo kuwasemea.
Lakini si diwani wa ccm? watajuana wenyewe
Diwani wa mchongo kajilipuaKumekuwa na kusigishana baina ya viongozi na wananchi kwa sababu ya tofauti za kimitizamo.
Hii imeshuhudia kwenye maeneo mengi. Tokea mto Mara, Katiba Mpya, wamasai Ngorongoro, dhuluma za polisi, nk.
Tofauti ni jambo la kheri ila ikumbukwe mwananchi ndiye anapaswa kutamalaki.
Viongozi kumbukeni ninyi ni watumishi wetu wala si watawala.
View attachment 2164384
Tunakoelekea kwa mwendo huu na nyomi hizi zonazidi kuchoshwa na janja janja, ghadhabu inazidi kupanda.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Tendeni wema mwende zenu, historia itakuwepo kuwasemea.
Diwani wa mchongo kajilipua
tusichanganye matakwa ya wananchi na matakwa ya Chadema..
Tusichanganye matakwa ya CCM na matakwa ya wananchi.
Haki zote za wananchi ni matakwa ya wananchi.
Kupaza sauti dhidi ya yote yasiyo haki ni haki ya wananchi kwa mujibu wa katiba.
shida ni chadema inapotaka matakwa yao yawe ndio matakwa ya wananchi. CCM ndio chama dola kwa maana kipo madarakani kutekeleza ilani ambayo wananchi wameipigia kura..
Ni vyema Chadema matakwa yao wakayaweka kwenye ilani ya chama halafu waje kwa wananchi kipindi cha uchaguzi..
Wananchi wepi hasira zao zinapanda?. Hawa hawa waTz maboya hawa?. Labda ingekuwa Kenya.
Nawaamini sana Kenya,kitu fulani kama hakijakaa sawa wanaanzia mtandaoni na hashtag. Hiyo inaenea nchi nzima wanapeleka ujumbe.
Kidogo ni kama tumeanza kuinuka kimawazo kwenye swala la Mbowe. Ile hashtag ya MBOWE SIO GAIDI,iliwashtua hata watawala waliopanga huo mchongo. Angalau hilo tulijaribu
Ni sawa ni sehemu ya wananchi. Lakini unaweza ukaanzisha jambo humu linalohusu kutetea maslahi ya wananchi,uzi usipofutwa,unaweza ukabaki peke yako,huungwi mkono. Ndio maana nakuambia mwamko wa kwetu bado sana.Kwani wewe siyo sehemu ya wananchi hawa ndugu?
Ni sawa ni sehemu ya wananchi. Lakini unaweza ukaanzisha jambo humu linalohusu kutetea maslahi ya wananchi,uzi usipofutwa,unaweza ukabaki peke yako,huungwi mkono. Ndio maana nakuambia mwamko wa kwetu bado sana.
Ngoja tuendelee kupigwa pin hivi hivi. Mpaka akili zitukae sawa. Mawaziri waendelee kuzungukana wao kwa wao. Anaachishwa leo uwaziri, kesho anarudishwa yule yule,kama vile hakuna wengine wasomi
Nyomi la kawaida sana. Siasa kadri unavyozidi kukua na kukomaa kiumri na kiakili utaelewa mengi ya kisiasa ambayo kwa sasa bado huyajui.Phillipo Bukililo unalionaje hilo nyomi?
Nyomi la kawaida sana. Siasa kadri unavyozidi kukua na kukomaa kiumri na kiakili utaelewa mengi ya kisiasa ambayo kwa sasa bado huyajui.
MuulizeBwana Kassim naye anasema hilo nyomi ni dogo?
Kwani huko CCM hakuna wananchi?Tusichanganye matakwa ya CCM na matakwa ya wananchi.
Haki zote za wananchi ni matakwa ya wananchi.
Kupaza sauti dhidi ya yote yasiyo haki ni haki ya wananchi kwa mujibu wa katiba.
Kwani huko CCM hakuna wananchi?
Hii habari ya kuegemea wananchi inakera sana.