Viongozi Simba matokeo haya yanawahusu

Viongozi Simba matokeo haya yanawahusu

Nhinawe

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
1,171
Reaction score
1,512
Viongozi wa Simba kiburi chenu cha kutosikiliza ushauri, hii aibu inawahusu.

Watu wengi walishauri kuwa haikuwa wakati sahihi wa kumleta kocha mpya katika dirisha dogo wakati aliyekuwapo alikuwa anafanya vizuri. Au kwa vile Mgunda amekuwa mzawa ndiyo mukamdharau.

Mechi zote za kimataifa alifanya vizuri nje ndani. Sasa mlitaka nini? KIBURI SI MAUNGWANA.
 
Mtoa mada njia mliopitia kuingia kwenye hatua ya makundi haikuwa ngumu mzee
Mzigo aliobeba mwenzio huujui uzito wakekwa vile wewe siye uliyebeba. Maadamu mzigo umefika utasema hata wewe waweza kuubeba.

Hukufunga magoli tisa?
Je! Nikuhukumu? Acha kujipa ubira. Acha dharau mkuu.
 
Issue ni kocha anaweza kutengeneza mfumo..
Tafuteni kocha fund na mzoefu wa soka africa ..ili mdumu naye...yaani kuona tu viper mmekurupuka
Nakuunga mkono.
Sikuelewa kwa nini walikurupuka kuleta kocha mpya katika wakati usio sahihi.
Ona, alivokuja tu akaanza na ku frustrate wachezaji. Ati huyu hafai kwenye mfumo wangu. Bla bla nyiiingi. Waona mbali tuligundua mapema, baada ya kusikia majigambo mengi.
 
Fanya hip-hop Mzee, uko vizuri.....
 
Back
Top Bottom